Iko Hivi; ni kweli Katiba yetu inaruhusu makamu wa Rais kurithi kiti cha Urais pindi Rais aliyeko madarakani anapofariki.
Swali langu, kama Magufuli angekuwepo huu ndiyo ulikuwa muhula wake wa mwisho, ina maana hata lift aliyoipata Samia ndiyo inaishia hapo.
Sasa hiki kipengele cha kumruhusu...