Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...