kuhudhuria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Waziri Bashe ni mgonjwa sana ashindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Nzega

    MBUNGE wa Nzega Mjini na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ni mgonjwa sana na ameshindwa kuhudhuria ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliyoifanya jana Jimbo la Nzega Mjini. Kwa mujibu wa Majaliwa amewaeleza wananchi hao kuwa Mbunge wao ni mgonjwa na ameshindwa kuhudhuria ziara hiyo ya Waziri...
  2. Tetesi: Mchezaji Ellie Mpanzu amegoma kuhudhuria mazoezi tangu Jumatatu akidai 25% ya malipo yake yaliyobakia

    Wakala wa mchezaji Ellie Mpanzu anayefahamika kwa jina la Papida amesema mchezaji wake bado anadai sehemu ya malipo yaliyobakia ambapo inadaiwa mpaka sasa kuwa hayajakamilishwa. Papida ameweka ngumu kwamba kama malipo hayo kama hayatakamilishwa mpaka kufikia Ijumaa hii basi wasitarajie kumuona...
  3. R

    Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k. Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
  4. Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  5. Anzeni kuweka utaratibu wa Chai kwenye Jumuiya Tuanze kuhudhuria

    Kila siku nasema ikifika jumamosi lazima niende jumuiya, lakini ikifika jumamosi yenyew nachimba,, Sasa nimefikiria atleast wakiweka utaratibu wa chai nitakua muudhuriaji mzuri sana tena asubuhi na mapema ntakuwa na wahi!
  6. SI KWELI Ibrahim Traorรฉ Rais wa Burkina Faso amewasili nchini kuhudhuria Mkutano wa Nishati

    Wakuu Nimeona vyanzo mbalimbali vimepost hii taarifa huko YouTube. Je, ni kweli Ibrahim Traorรฉ, Rais wa Burkina Faso, amewasili nchini kuhudhuria mkutano wa nishati ambao unaendelea leo kwa siku ya pili?
  7. Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

    ๐—Ÿ๐—œ๐—ฉ๐—˜: ๐— ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐—ก๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ (๐—”๐—ณ๐—ฟ๐—ถ๐—ฐ๐—ฎ ๐—˜๐—ป๐—ฒ๐—ฟ๐—ด๐˜† ๐—ฆ๐˜‚๐—บ๐—บ๐—ถ๐˜) ๐Ÿฎ๐Ÿณ-๐Ÿฎ๐Ÿด ๐—๐—ฎ๐—ป๐˜‚๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ, ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ Tazama live Hapa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit) Utakaofanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 27 โ€“ 28 Januari, 2025. Mkutano huu muhimu unaandaliwa kwa pamoja na Serikali ya...
  8. Mzee Philip Mpango, sasa ndio umenuna hukutaka hata kuhudhuria uzinduzi wa wiki ya sheria?

    Uombe kupumzika mwenyewe halafu utununie.
  9. Mfahamu Mchungaji kutoka Afrika aliyealikwa kuhudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais Trump

    Mchungaji William Folorunsho Kumuyi ni Mchungaji Mwafrika, aliyepata heshima ya kualikwa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Marekani, Donald Trump, tarehe 20/1/2025. Mchungaji huyo alipata nafasi ya kushiriki ibada rasmi ya kumuombea Rais Trump. Mchungaji huyo ni nani hasa na kwanini...
  10. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  11. Pre GE2025 Sakata la Makonda na Gambo Zitto amchana Gambo kuhudhuria vikao asifikiri kuna kupita bila kupingwa kama 2020

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo utetezi wa Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo wa kutohudhuria vikao hivyo hauna mashiko. Kupitia...
  12. Eti huyu ni mke wa mtu,tena kaolewa kwa ndoa ya kanisani kabisa na watu wakakusanyika ukumbini kuhudhuria sherehe ya harusi yake.

    Merry Christmas everyone out there. Kuna mwanamke tulikutana tu somewhere mwanzo alivyojiweka me sikujua kama ni mke wa mtu coz alinificha,so nikachapa mara moja then nikaja nikagundua ni mke wa mtu me nikampotezea,sasa ni hataki kuniacha ni kwamba kaniganda sana. Hapa chini ni conversation...
  13. Nahitaji kuhudhuria Jumuiya za kikatoliki Mwenge ratiba zake zipoje

    Habari wakuu, Nahitaji kuanza kuhudhuria jumuhiya za kikatoloki Mwenge. Mimi nasali Kimara kwa sababu zangu binafsi itanibidi nisali Jumuhiya za Mwenge kila Jumamosi. Kwa mwenye uzoefu hizo hizi Jumuhiya za Mwenge ratiba yake ya asubuhi ipoje? Yaani zinaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
  14. Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

    Nimemsikia sheeee uko tik tok kuwa muislamu anapo hudhuria ibada ya mazishi ya kikristo wakati yeye muislamu anakuwa amekiukya taratibu za kiislamu
  15. Zifahamu nchi zilizopata mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa G20

    Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20. Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk. Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na...
  16. Cristiano Ronaldo asusia kupiga Kura na kuhudhuria sherehe za Ballon dโ€™Or

    Vincent Garcia, Mhariri Mkuu wa France Football ambao ndio wamiliki wa tuzo za Ballon d'Or amebaki njia panda baada ya CR7 kuzikacha tuzo hizo. Pia, Soma: Rodri ashinda Ballon dโ€™Or 2024, kiungo mkabaji wa kwanza kushinda tuzo hiyo Majina ya Vinicius Jr na Jude Bellingham yaondolewa kwenye Viti...
  17. Lini ilikuwa mara yako ya mwisho kuhudhuria kwenye nyumba ya ibada?

    Ngoja nisome comments...
  18. Mkuu wa Dawati awaasa wanafunzi kuhudhuria Masomo kikamilifu, awasihi walimu kufuatilia mienendo ya watoto

    Katika kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusikilizwa kero zao zinazowakabili wanafunzi katika Wilaya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Mkuu wa dawati la jinsia na watoto wilaya hiyo ameendelea kutoa Elimu ambapo amefika katika Shule ya Msingi Kanindo ambapo amewataka wanafunzi kuhudhuria kikamilifu...
  19. Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

    Habarini Wadau, Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe, Miongoni mwa...
  20. Ndugu zangu tujengeni utamaduni wa kuhudhuria viwanja vya michezo โšฝ

    Nimegundua kushindwa kwangu kuhudhuria viwanja vya michezo kumenifanya nikose vingi. Najutia sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ