Ni aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake .
Mwanaume aliyekamilika hawezi kukubali watu wengine wamlelee watoto wake wakati yeye yupo hai , that is...