Tulikua watu makini kama wa 4-5 ama 6 sikumbuki vizuri... (waandamizi wa jambo flani, sijui ni jambo gani ila ni kama jambo la maana sana)
Tulikua tunakatiza mitaa fulani usiku huko kijijini, tukiwa katika njia ya vumbi inayotosha kupita gari, gafra ukaona kikosi/kikundi cha watu Sita...
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for almost 10 years, halafu kampuni husika inaamua kuigawa kwa mteja mwingine. Jamaa na ndugu zangu wakawa...
UTANGULIZI
Magonjwa yasiyoambukizwa ni magonjwa ambayo hayatokani na kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwengine. Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani, magonjwa yasiyoambikizwa yanaongoza kwa kusababisha vifo duniani kote ikiwemo Tanzania. Vifo 32 kati ya 100 duniani kote...
Mamlaka ya Taifa ya Uchukuzi na Usalama (NTSA) imechukua hatua hiyo dhdi ya kamouni ya 'Bolt' kutokana na madai ya Ukiukwaji wa Kanuni za Leseni, ikiwa ni pamoja na Malipo Yasiyostahili kwa Madereva pamoja na Ada za Uitishaji wa Huduma.
Pia, NTSA imesema Bolt ameshutumiwa kukiuka Kanuni za...
Nipende kutoa wito, maoni na ushauri adhimu na wa kipekee.
Kama nchi lazima tubuni mikakati mipya ya kukabiliana na maadui watatu muhimu waliotajwa hapo awali yaani umasikini, ujinga na maradhi.
Bado kama Taifa hatujafikia kiwango tulichohitaji kufikia katika kukabiliana na maadui tajwa. Hivyo...
Wakuu,
Ni ajabu sana kuona miji midogo ndani ya majiji haina sehemu zenye utulivu kwa ajili ya watu kupumzika na kutembea, huku wakicheza na watoto wao, wakinywa soft drinks na bites, wakipiga picha na kupumzisha mafuvu yao.
Mji mdogo kama Mbezi-Kimara, kutwa ni shughuli za kiuchumi...
Kustaftahi
Ongezeko la vijana wengi wano maliza elimu ya juu, vyuo vya kati na shule za upili limesababisha upungufu mkubwa wa ajira nchini. Taasisi binafsi na taasisi za serikali ambazo zina nafasi ya kuajiri zimekua zikitumia mwanya wa uwingi wa wahitimu wa vyuo na vyuo vikuu kama fimbo ya...
Taarifa ambazo zimepatikana ni kwamba Ukraine anakaribia kumaliza kuhuisha silaha za nyuklia zilizokuwa decommissioned.
Ikumbukwe kwamba mwaka 1994 Ukraine aliondoa silaha za nyuklia zilizokuwa zinamilikiwa na USSR. Kulikuwa na zaidi ya nukes 1700.
Sasa wamehuisha baadhi kwa msaada wa mataifa...
Maafisa Afya nchini wametakiwa kurejesha upya (renew) leseni zao kabla ya Machi 5 mwaka huu na hatua kali zitachukuliwa kwa atakayekiuka agizo hilo ikiwemo kufutiwa usajili.
Hayo yamesemwa na Msajili wa Baraza la Afya Mazingira Iddi Hoyange katika kikao cha Baraza la Afya kilichofanyika mkoani...
Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU.
Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.