Wakuu,
Ni ajabu sana kuona miji midogo ndani ya majiji haina sehemu zenye utulivu kwa ajili ya watu kupumzika na kutembea, huku wakicheza na watoto wao, wakinywa soft drinks na bites, wakipiga picha na kupumzisha mafuvu yao.
Mji mdogo kama Mbezi-Kimara, kutwa ni shughuli za kiuchumi...