Rais Samia amebadilisha uelekeo wa soka letu kwa kutia juhudi binafsi kusuma michezo Tanzania. Hakuna asiyefahamu kuwa watu wa taifa letu wamegawanyika kwenye ushabiki wa simba na yanga kwa mamilioni.
Mtu kuahirisha mechi ya simba na yanga bila shaka anadhamiria yatokee mambo mabaya sana kwa...
Huyu amekuwa akijiona ni mkamillifu sna na mjuaji kinoma yeye ameusika moja kwa moja kuhujumu chadema na hata saulika Leo amekuja naanza kuleta chuki zake na ukatoliki wake kwenye siasa za chadema huku akiwa ni msaliti namba moja
Akumbuke alihongwa pesa ili kuivuruga chadem
Leo ameibuka amenza...
Watu wanne wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa vipindi tofauti wakidaiwa kuhujumu miundombinu ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na Shirika la Reli Tanzania (TRC).
Mara kadhaa TRC imekuwa ikieleza kuwapo kwa baadhi ya watu wanaokula njama za kuharibu miundombinu ili kuzorotesha usafiri wa...
Manara nakuonya acha kuhujumu club ya yanga Africans
Hii timu Ina historia kubwa katika mpira
Hao waganga wako pamoja na wewe mtaenda pamoja
Hii timu ni tunu ya Taifa ndio mwasisi wa Uhuru wa nchi hii
Ndio kila kitu hauwezi kuwafanya wanayanga wakose furaha kwa wakati wote huo
Nasema...
July 04, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alisema serikali ya CCM itanunua vichwa na mabehewa vilivyotumika (mtumba) na vyenye hali nzuri watavitengeneza.Mradi mkubwa wa thamani ya Sh16 trilioni kutumia mabehewa na vichwa (used), hii sasa ndiyo hujuma yenyewe. Hata hakuna ambaye anahujumu mradi...
Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
Wafanyabiashara wenye kuagiza bidhaa muhimu toka nje tumeona kila wakati wakihujumu mipango ya taifa ya kuzalisha bidhaa hizo nchini. Tumeona kwa mfano wakihujumu uzalishaji wa ngano ili biashara yao na wabia wa nje isife. Tumeona mfano huo kwa uzalishaji wa sukari kila wakati kukiwa na hujuma...
Hospitali ya Aga Khan wanataka kutoza Shilingi 6,000,000/= kwa huduma za kujifungua kwa njia ya upasuaji wakati Hospitali nyingine zenye hadhi sawa ya rufaa ya Kanda wanatoza kiasi cha Shilingi 230,000/= huku bei ya juu katika baadhi ya Hospitali ikijumlisha na huduma ziada hutoza kiasi cha...
Leo jumatatu katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV kinachoongozwa na Farhia Middle aliyekuwa Waziri wa Kilimo na pia kada maarufu wa CCM amekiri kuhujumu katiba ya Warioba ambayo ilipendekeza serikali tatu.
Itakumbukwa Kimiti alikuwa mjumbe wa Tume ya Warioba iliyozunguka nchi nzima kutafuta...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amekuwa akiandaa njama za kudhoofisha maandamano ya chama hicho yaliyopangwa kufanyika jijini Mbeya Jumanne, Februari 20.2024
Akizungumza na wanahabari kwenye Ofisi za CHADEMA Kanda ya Nyassa zilizopo...
Nimeshutushwa sana na kampuni ambayo inawakilisha Fedex Tanzania. Ukituma mzigo wowote kwa Fedex hata barua tu utasumbuliwa sana. Hawa jamaa ukituma mzigo kwa Fedex mfano hata kama mzigo ni wa $50 watajaribu kukuwekea gharama za 500,000 na zaidi.
1. Wenyewe sio TRA kodi zote zinatakiwa ziwe za...
Ni Kesi ya Uhujumu Uchumi inayowakabili Watumishi wa TANESCO Mkoa wa Mwanza, Abdukadri Lwassa (Fundi) na Respicius Rwegoshora (Afisa Bohari) imeshindwa kuendelea kutokana na upelelezi kutokamilika.
Watumishi hao wanakabiliwa na mashtaka 125 yakiwemo ya Kughushi Nyaraka, Ubadhirifu wa Mali ya...
Mkoa wa Morogoro ni mmoja wa Mkoa wenye uzalishaji mkubwa wa mazao yakiwemo mazao ya ufuta.
Ni takribani miaka mitatu sasa Wizara ya Kilimo, Wizara ya Fedha na Mipango, na Wizara ya Viwanda na Biashara zimekuwa zikitoa maagizo kuwa Ufuta wa Morogoro uuzwe kupitia Stakabadhi za Ghala Ili Mkulima...
Baraza la Wawakilishi la Marekani hapo awali lilipitisha mswada wa sheria iliyolenga kuivua China hadhi yake ya "nchi inayoendelea". Hivi karibuni, Bunge la Marekani lilipendekeza azimio lingine la kupinga hadhi ya nchi inayoendelea ya China katika Shirika la Biashara Duniani WTO. Kwa kujibu...
Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chini wame store bidhaa za kila aina.
Je, hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi...
Kwanini kila aliyejaribu kuhujumu CHADEMA anakufa kimwili au kisiasa ?
------------------
Nimechunguza kidogo kuhusu jambo hili na kiukweli nimethibitisha .
Wale wote waliojaribu kuhujumu Chadema Kwa sababu ya Madaraka , fitna , usaliti , uchawi au kwa lolote lile wengi wamekufa na kuzikwa ...
Tunajua unalipwa na CCM kuhujumu maisha ya watanzania. Ndio maana hata hko nyuma ulikamatwa live ukila milungula ili kuhujumu watanzania.
Hutaki CCM iondoke madarakani
Hizi porojo acha kutuletea
👇
Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi !
"Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi itakarabatiwa kama KAWAIDA lakini Kila mwaka wanaipapasa tu halafu mvua zikianza kunyesha tu...
Hakuna asiyejua umuhimu wa sensa kwa maendeleo ya Taifa letu. Serikali imetenga fedha nyingi sana kwa ajili ya sensa kutokana na umuhimu wake katika nchi yetu
Lkn kuna watu wanaikwamisha serikali katika kutimiza adhima hii muhimu. Leo nikiwa kijijini nilikoenda kupumzika katika likizo yangu ya...
Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ameonyesha wazi kutoridhika na utendaji kazi wa wapiga picha waliokuwa kwenye msafara wake kwa kushindwa kupiga picha nzuri zinazoonyesha umati wa watu wanaofika kumpokea. Rais Samia akiwa Njombe amelazimika kuwaagiza wapiga picha kupanda juu ya magari ili waweze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.