kuhujumu sgr

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Baadhi ya abiria treni ya SGR wadaiwa kuihujumu TRC, nauli haziendani na safari zao

    Abiria wanaotumia Treni ya SGR kutoka Dar es salaam - Morogoro hadi Dodoma wametuhumiwa kuhujumu shirika la reli Tanzania TRC kwa kutolipa nauli ambazo zianendana na sehemu wanazoelekea au vituo wanavyoshukia. Akizungumza na waandishi wa habari Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Morogoro...
  2. Z

    Tuwe makini, wafanyabiashara wa mabasi na wasifirishaji wa mizigo wanaweza kuihujumu Treni ya SGR

    Uongozi wa TRA pamoja na mamlaka zingine ziwe makini sana na baadhi ya wafanyabiashara/wasafirishaji wa mabasi na malori ya mizigo wanaweza kuhujumu usafiri mpya ulio zinduliwa wa treni ya kisasa ya SGR. Tunafahamu baadhi ya wafanyabiashara za usafirishaji hawakufurahia ujio wa SGR kwa...
Back
Top Bottom