Kuanzia leo, sitamlaumu tu aliyehujumu uchaguzi bali hata aliyehujumiwa kisha akakaa kimya bila kuchukua hatua stahiki.
Kwa miaka mingi, vyama vya upinzani vimekuwa vikilalamika kwamba wameibiwa kura, lakini malalamiko haya yamekuwa bila matokeo yoyote kwa sababu hakuna hatua stahiki...