Wakati nikikuwa nilikua nasikia hizi habari za hali ngumu ya uchumi na kukawa na operation ya kukamata wahujumu uchumi na walanguzi, tukasikia kuna nyumba zimekutwa zina basements na huku chini wame store bidhaa za kila aina.
Je, hiyo ilisababishwa na nini na kwanini kukawa na uhujumu uchumi...