kuhukumiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mahakama kutoa uamuzi kuhusu kesi dhidi ya Kaimu IGP wa Kenya wiki ijayo

    Kaimu Inspekta Jenerali wa Polisi Gilbert Masengeli anatarajiwa kuhukumiwa kifungo Ijumaa ijayo kwa kosa la kupuuza maagizo ya Mahakama mara saba. Jaji Lawrence Mugambi ameeleza kuwa IGP amedharau mahakama kwa kukosa kufika mbele yake mara 7 kueleza kuhusu maisha ya Wakenya watatu wanaodaiwa...
  2. Aliyebaka mtoto na kumwambukiza UKIMWI aachiwa huru baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kati ya 2022 na 2023. Mbali na Mahakama ya Wilaya ya Iringa kumuhukumu kifungo cha maisha Oktoba...
  3. Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
  4. Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

    Hiyo picha ni ya mdada / Mbibi anaitwa Maria, ni mjane mwenye watoto wa 4 =========================== Update: 08/11/2023 https://www.jamiiforums.com/threads/tls-kumsaidia-aliyefungwa-miaka-22-kisa-nyama-ya-swala.2156049/ ========================== Haya, huyu hapa, Anaitwa Hakimu...
  5. Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  6. Maandamano makubwa Senegal baada ya kiongozi wa upinzani kuhukumiwa

    Habari wana jamvi. Maandamano makubwa yanaendelea Senegal nzima baada ya kiongozi wa upinzani Ousmane Sonko kuhukumiwa kifungo cha miaka miwili jela kwa kosa la kulaghai watoto chini ya miaka 21. Awali bwana Sonko ambaye ni gavana wa jimbo mojawapo alikuwa na tuhuma za ubakaji. Pale dada wa...
  7. Eswatini: Wabunge waliopinga utawala wa Mfalme Mswati III kuhukumiwa

    Wabunge wawili Mduduzi Bacede Mabuza na Mthandeni Dube walioshiriki katika maandamano ya Mwaka 2021 wameshtakiwa kwa makosa ya mauaji na ugaidi na wanaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela japokuwa wamekana mashtaka ya kuchochea machafuko. Waandamanaji walidai kukasirishwa na kuzorota...
  8. Senegal: Vyama vya Upinzani vyaitisha maandamano baada ya Kiongozi wao kuhukumiwa kifungo cha miezi 6

    Muungano wa Vyama vya Upinzani Nchini #Senegal umeitisha maandamano hayo siku moja baada ya Mahakama kumuongezea muda wa kifungo #OusmaneSonko kutoka miezi 2 hadi 6 kwa madai ya kumtukana Waziri wa Utalii Mame Mbaye Niangtou. Kwa mujibu Vyama hivyo, maandamano yanalenga kupinga uamuzi wa...
  9. Anayedaiwa kumuua ‘Trafiki’ kuhukumiwa Machi 2023

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imepanga Machi 17, 2023 kusoma hukumu ya kesi ya mauaji ya askari wa kikosi cha usalama barabarani, Sajenti Mensah inayomkabili Amani Philipo. Tarehe hiyo ilipangwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Lumuli Mbuya anayesikiliza kesi hiyo baada ya upande wa utetezi kufunga...
  10. Unabii wa Godbless Lema kwa Ole Sabaya umetimia?

    Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
  11. Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  12. Ayubu Sikagonamo wa CHADEMA atimiza siku 378 gerezani bila kuhukumiwa

    Huyu ni kijana aliyechangia kwa kiasi kikubwa sana kusambaratishwa kwa ccm huko Tunduma , alikuwa diwani wa Tunduma Mkoa wa Songwe , alishakamatwa mara kadhaa na kuachiwa kama wakamatwavyo viongozi wengi wa Chadema. Ili kumkomoa akatengenezewa kesi ya Uhujumu uchumi , yaani diwani na Mkulima wa...
  13. Watu wengi tunapitia maisha ya kuhukumu na kuhukumiwa kirahisi tu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…