Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa?
Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo?
Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
Wakuu,
Baada ya kuwepo kwa concern kutoka kwa wadau mbalimbali kwamba wanafunzi wanatolewa madarasani ili wakaandikishwe kwenye daftari, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohamed Kawaida amejitokeza kutetea sakata hilo.
Kawaida alisema kuwa ni sahihi kwa wanafunzi kuandikishwa ili wakapige kura iwapo...
Wakuu,
Hii ni video nimekutana nayo huko mtandaoni yaani X ambapo wakala huyu wa CHADEMA alikutana na mwanafunzi huyu wa miaka 16 akiwa anataka kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.
Baada ya kuhojiwa maswali mawili matatu, dogo kaanza kujing'ata ng'ata. Tukio hili limetokea huko...
Aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akiongea na wanahabaru hivi karibuni amezungumzia namna ambavyo kumekuwa na hujuma kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi kwenye Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa.
Lema amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa serikali wanafanya mbinu ikiwemo...
Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu
Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa mkakati mzur kabisa
Makarani wametoka vituoni wapo wanatembea nyumba kwa nyumba wakiongozwa na mtendaji...
Mwaka 2020 niligombea Ubunge Jimbo la MISUNGWI.Wakati NARUDISHA fomu 25/08/2020,Nilinusurika Kutwekwa ndani ya Majengo ya Halmashauri huku nikinyooshewa BASTORA mbele ya Mkurugenzi aitwaye MABUBA KISENA ili wanipore Fomu yangu ya Ubunge!!Mungu kawapiga UPOFU Wameanza kujitaja!
Maoni yangu...
1. Nitashangaa kama CHADEMA watashiriki tena uchaguzi ili waje kulalamikia tena Tume na Wasimamizi wa uchaguzi
(Wakurugenzi wa Halmashauri).
2. Hivi hamna strategy ya kufanya mchakato wa Katiba Mpya uendelee ili uchaguzi uwe huru? Chama cha upinzani mmepoa kama SACCOS.
Pia soma: Je, CHADEMA...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM haijawahi kuiba kura, Kama haitoshi amemshutumu Tundu Lissu kwamba aache kutisha na kupotosha Wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.