kuibadili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Miradi ya mwanamfalme MBS kuibadili Saudi Arabia kuwa pepo ya dunia yaingia ukorofi

    Waislamu duniani mara zote wanapopatwa na shida walitegemea wapate utetezi wa hali ya juu kutoka kwa utawala wa Saudi Arabia kwanza kabla ya kwengine kokote.Misaad hiyo ingeweza kuwa ya kimali,kijeshi na hata kauli za kisiasa. Kinyume chake mara zote kumetokea maangamizi mabaya kwa waislamu bila...
  2. Meneja Wa Makampuni

    Tujenge kiwanda cha kuibadili gesi asilia kuwa petroli na dizeli

    Kiwanda cha kubadilisha gesi asilia kuwa mafuta (Gas-to-Liquid - GTL) ni njia nzuri ya kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta nchini Tanzania. Gesi asilia inaendelea kuwa rasilimali muhimu na yenye thamani kubwa katika soko la nishati duniani. Kuzalisha mafuta kutoka gesi asilia itakuwa na...
  3. Hismastersvoice

    Bendera ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ni ruksa kuibadili?

    Jana Jumamosi 15/04/2023 Waziri Mkuu alikuwa Zanzibar akizindua kitabu cha taarifa ya Sensa iliyopita, kwenye uzinduzi huo walikuwepo wananchi ukumbini ambao walikuwa wakipepea bendera za taifa, kitu ambacho sikuelewa ni hizo bendera za taifa katikati kuwa na picha ya rais mama Samia! Bendera...
  4. Richard

    Serikali ijaribu sera ya madaraka mikoani, yaweza kabisa kuibadili nchi yetu ndani ya kipindi kifupi

    Makamu mwenyekiti yupo ziarani mikoa ya magharibi mwa Tanzania, ambapo tayari kapita Kagera na mkoa mpya wa Geita. Hapo Kagera kakutana na mkuu wa mkoa bwana Chalamila ambae juzi kaongea maneno ambayo yamekosa mwongozo wa kitaaluma kwa kujaribu kulinganisha uwezo wa kuongea lugha ya kiingereza...
  5. F

    Kenya 2022 Raila Odinga aanza kuibadili Kenya

    Kupitia Deep State, Raila aliishauri serikali iondoe mfumo wa elimu wa 844 na kuja na CBC (Competency Based Curriculum) ambayo ni 233333. Hii iliasisiwa mwaka 2017 baada ya maridhiano yaliyoongozwa na Magufuli PHOTOS: Magufuli Unites Uhuru and Raila - Kenyans.co.ke . Tz pia miaka mitatu nyuma...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara inadaiwa kuwa na teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL))

    Kampuni ya Shell’s Global yenye vitalu vya gesi Mtwara ina teknolojia ya kuibadili gesi kuwa mafuta (gas-to-liquids (GTL)) Our gas-to-liquids technology turns natural gas into high-quality liquid fuels, base oils for lubricants, and other liquid products usually made from oil. It is founded...
  7. Idugunde

    Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

    Charity begins at home. Sasa kama katiba yenu ina madudu makubwa kiasi cha kiongozi wa chama akitafuna bil 8 kwa kujilipa madeni hakuna wa kumhoji, kwa nini msianze nayo ili muonyeshe mfano wa mabadiliko? Haya pamoja na hilo mbona kuna kuwa na uongozi usiokuwa na ukomo wa mwenyekiti? Na mtu...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Tuwaige Uzberkistan Kama mafuta ni bei tunaweza kuibadili gesi yetu kuwa mafuta

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na ndege (GTL). Kiwanda hicho...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Siasa za Mafuta na Gesi: Uzberkistan inaanza kuibadili gesi asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na gesi ya LPG

    Nchi ya Uzberkistan inaanza kuibadili Gesi Asilia kuwa petroli, dizeli, mafuta ya ndege, mafuta ya taa, na Gesi ya LPG ya kupikia. Nchi ya Uzberkistan ina mpango wa kuanza uzalishaji katika kiwanda chake za kwanza cha kubadili Gesi asilia kuwa mafuta ya magari na ndege (GTL). Kiwanda hicho...
  10. Shoctopus

    Umachinga ni 'social behavior', siyo rahisi kuibadili kwa Sheria au kwa Matamko

    Asalam-alaekoum Wana-JF Nianze kwa kurudia 'mantra' yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa na watawala wetu katika MFUMO tulionao: THE HALLMARKS OF BAD GOVERNANCE: 1. Ambiguity 2. Arbitrariness 3. Capriciousness Maana ya mantra hii ni kwamba huwezi kuwa na Utawala Bora kwa maamuzi: 1. YA...
Back
Top Bottom