kuibomoa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Kama ambavyo yanga wanaitumia serikali kufanikisha mambo yao,vivyo hivyo wanaitumia serikali kuibomoa Simba

    Mangungu ana watu wazito nyuma yake na agenda yao kubwa ni kuimilikisha Simba kwa familia ya gsm. Hawajali Mo akiondoka ,wala Simba ikiyumba.Agenda yao hii wanaipigania kupitia kwa mangungo na baadhi ya watu wajinga wanaotaka kumrudisha manara. Siasa zinaharibu sana mpira wetu,maana kuna watu...
  2. JamiiForums Tanzania Mo Dewji hana mpango wa kuijenga upya Simba bali anaibomoa aichache kama alivyoikuta

    Hayupo kuboresha kikosi bali kuweka hesabu sawa tu. Anakusudia kupunguza mishahara mikubwa tu. Mishahara ya m 12+ kama inatakwa itemwe yote. Wakaanza na Miksoni, Chama, Sarry, Jobe, Kanute, Ayoub, Ngoma. Atakaebaki kati yao labda tu awe na mkataba mgumu kuvunja lakini wote hao wanavunjwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…