kuibuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuibuka kwa wimbi la wajiitao mapunter twitter.

    Kuwako kwa wimbi kubwa na la ghafla mtandao wa X (twitter) kwa wanaojiita mapunter. Uchunguzi wangu... Wanatabia kama za watu wa forex now kuonyesha wana maisha mazuri sana na wanapiga hela kwenye betting. Mbili, code wanazotoa ni za kweli, bt kama ilivyo kwa wote mwisho wa siku huchezi ww...
  2. L

    Kuibuka kwa "Dunia ya Kusini" kumeleta mabadiliko makubwa duniani na kuielekeza dunia kwenye mustakbali mzuri

    Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika utaratibu wa kimataifa. Nchi na mashirika ya kimataifa kutoka Kusini, kama vile China, India, Umoja wa...
  3. Tuzo za Tanzania Music Awards kutolewa Okt. 19, 2024, kina nani kuibuka Washindi?

    Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam. Vipengele...
  4. Rais Ramaphosa amfuta kazi Mshauri wa Uchumi baada ya kuibuka utata kuhusu Elimu yake

    AFRIKA KUSINI: Rais Cyril Ramaphosa amemuondoa kazini Dkt. Thabi Leoka ambaye ni mmoja kati ya Washauri wake katika masuala ya Uchumi kufuatia hoja zilizoanza kuibuliwa kuhusu uhalali wa sifa zake Kitaaluma. Kwa mujibu wake Dkt. Leoka anadai alipata 'PhD' yake kutoka Chuo Kikuu cha London...
  5. Kuibuka kwa Makanisa ya Upako wa mafanikio

    Nimetafakari kwa kina kuhusu kuibuka kwa makanisa ya upako wa mafanikio. Kikubwa nilichogundua ni kuwa Tatizo kubwa ni umasikini na matatizo ya aina tofauti tofauti. Kwangu mimi ninaweza kusema kwamba kuibuka kwa makanisa mengi ya aina hii si ishara kwamba Wengi wanamtafuta Mungu saana, la...
  6. K

    Ishu ya Msuva ni GSM au Mo Dewji nani kuibuka mshindi?

    Kumekuwa na tetesi kuwa timu kubwa vigogo hapa nchini za Simba na Yanga zote zinaiwania saini ya straika Simon Msuva. Msuva yupo nchini tangu mwezi Juni mwaka huu, baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya Al-Qadsiah, ya Saudi Arabia. Yanga imeripotiwa kurdi tena upya kufanya mazungumzo nae...
  7. B

    Sakata la DP World kina Musiba waanza kuibuka

    Walikuwapo wakatoweka. Mabilioni bado hawajalipa: Kama mchezo wa kuigiza wengine nao wanaibuka. Ngoma inogile ngoja tuone.
  8. SoC03 Kuibuka kwa Taasisi/vikundi vingi vya kukopesha pesa mtandaoni: Je, wananchi wana uelewa? Usalama wa Taarifa Binafsi unazingatiwa?

    Na DON YRN. Habari za wakati huu wadau wa JamiiForums?, matumaini yangu tupo salama katika ujenzi wa Taifa letu. Lengo langu kutoa mada hii siyo kuleta uchonganishi au kuchafuliana biashara, hapana, lengo ni kufichua kile kinachoonekana kipo kinyume kwenye jamii. Kumekuwa na ongezeko kubwa...
  9. Athari za kuibuka kwa madhehebu kila leo

    Kilichotokea Kenya huenda kikatokea Tanzania pia lakin kwa njia ya tofauti maana wamama wengi ni wanakunywa mafuta ya upako Nimesema wamama kwa sababu ndo wafuasi wengi wa hzi mamb kuliko wanaume. Mafuta yenyew hatujui yametoka wapi TFDA wapo na hawajaliona hili. TBS wapo wamekaa kimya kujua...
  10. L

    Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
  11. Ongezeko la shule ndiyo sababu ya shule nyingi kufa na kuibuka mpya

    Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini. Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa...
  12. L

    #COVID19 China imejizatiti kurejesha hali ya kawaida kama ilivyo kabla ya kuibuka kwa janga la COVID-19

    Caroline Nassoro Hivi karibuni, serikali ya China ililegeza masharti na hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19), na hii inatokana na mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kudhibiti kuenea na vifo vinavyotokana na virusi hivyo. Binafsi, hatua hii imenipa matumaini...
  13. Tafakuri: Janga la kuibuka panyaroad wasomi, wizara ya Elimu imejipangaje!?

    Kama Taifa tumeshindwa kabisa kuwahodhi nguvukazi ya vijana WETU Hadi WAMEKUWA panyaroad wakikimbizana na polisi!huku ni kufeli kwa sera zetu za ajira japo tuna wabobezi katika uchumi pia ni wanasiasa wakubwa. Wimbi la vijana waliokosa ajira litaongezeka KILA mwaka na kuzalisha wahalifu...
  14. RPC wa Arusha hii nguvu unayoitumia kutafuta waliomuua Askari Ngorongoro kwanini hukuitumia mwanzoni kuzuia kuibuka kwa huo mzozo?

    Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa? Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
  15. Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Uchifu ulishakufa"

    Rais Mstaafu Kikwete ashangaa kuibuka kwa Machifu Tanzania "Yarabi Toba" Enzi za utawala wake:
  16. Kuibuka kwa bodaboda wazee, kijana unajifunza nini?

    Habari! Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu. Najiuliza maswali yafuatayo; 1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi? 2. Atafanya hiyo kazi mpaka...
  17. Utabiri: Simba SC kuibuka na ushindi mnono Jumamosi

    Kesho Simba sc bingwa mtetezi ligi kuu Tanzania bara na mtegemewa pekee katika mechi za kimataifa, ataparurana na wanatamtam Mtibwa sugar kutoka Manungu mkoani morogoro katika muendekezo wa ligi kuu Tanzania bara. Mchezo wa kesho ni mgumu sana kwa Mtibwa licha ya kuwa nyumbani, kwa nini nasema...
  18. Kuibuka kwa vikundi vikali ni kutokana na mwenendo wa serikali katika nchi

    Leo nimepata kukusanya japo kidogo na kuunganisha kwa nini kuna makundi au vikundi baadae huja kuwa tishio au kuondoa tawala kabisa. Suala la kuibuka kwa makundi au vikundi kuna mawili ambayo yanafanya kuibuka. Makundi haya yanaweza kuwa ya chanya au hasi. Sababu ya kuibuka makundi: Ukosefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…