Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameituhumu nchi ya Urusi kutumia mitandao ya kijamii kuchafua jina la Ufaransa barani Afrika.
Rais Macron alisema maneno hayo tarehe 6 Januari 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaohudumu nje ya nchi hiyo.
Akiongelea swala la kupungua...