Wakuu,
Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi.
Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia...