Wadau habari,
Moja ya ahadi za Mwana- CCM ni hii
Rushwa ni Adui wa Haki Sitapokea wala kutoa Rushwa.
Ahadi hiyo imethibitika kushindikana ndani ya CCM kama Chama Tawala na SERIKALINI kwa sababu viongozi wote wa Serikali, Bunge na Mahakama pamoja na majeshi yetu ni wanachama wa CCM japo kwa...