Uko vizuri sana kwenye Kuzungumza, Kujisifia Kwingi na kuegemea zaidi katika 'Engineering Theories' zako ila sina uhakika kama utaweza hata kufanya 25% ya Uliyojimwambafai nayo katika Interview yako na Sports Extra ya Clouds FM jana Usiku.
Kitu pekee ambacho Injinia Hersi Said umekisahau ni...
Habari,
Kwa wale wadau wanaojihusisha na biashara ya madini leo nina jambo hapa nahitaji tuliangalie. Kumekuwa na uhaba au kutokuwa wazi kwa biashara hii ya madini na vito vya thamani mpaka kuonekana kanakwamba ni biashara ya utapeli au ushirikina wakati ni biashara kama biashara zingiaze...
Je, kwa muda mrefu unasumbuka namna bora ya kuiendesha biashara yako kisheria na kuiongezea thamani biashara yako? Kama ndio basi nina jambo jema kwaajili yako.
Biashara yoyote ili itambulike kisheria lazima iwe na vibali vyote vitakavyo muwezesha kufanya biashara yake.
1. TIN ya biashara
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.