Katika kituo cha treni, kulikiwa na wahasibu watatu kila mmoja alinunua tiketi yake. Lakini waliwaona mainjinia watatu wakinunua tiketi moja tu.
Ikabidi mmoja wa wahasibu awaulize, "Nyie mpo watatu mtasafirije kwa tiketi moja tu?",
"Subiria utajionea mwenyewe", anajibu mmoja wa mainjinia...