kuikosoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  2. M

    Tito Magoti: Tunahukumiwa kifo kwa kuikosoa serikali ya Tanzania

    Hofu ya kutekwa na kupotezwa imeendelea kwa miongoni mwa baadhi ya wanaharakati na waandishi wa habari wa Tanzania wakiripoti kupokea kupokea jumbe za vitisho na tahadhari nchini kwao. Mwanasheria na mwanaharakati wa haki za binadamu Tito magoti na Mtangazaji ROlandMabala wote walidai kupokea...
  3. Ni halali kwa Mch. Msigwa kuikosoa CHADEMA?

    Mimi siyo mfuasi wa Chama Chochote cha siasa, ila ni mpiga kuta mwaminifu. Sichagui Chama, namchagua mtu. Msigwa ni mwanachama wa CCM kwa sasa. Lakini miezi michache iliyopita, alikuwa CHADEMA akiwa ni mmoja wa viongozi waandamizi wa hicho chama. Baada ya kuhamia CCM, amegeuka kuwa mmoja wa...
  4. CEO wa JKT, Jemedari Said ataweza kuikosoa timu hiyo redioni Crown FM?

    Nauliza tu huyu jamaa ambaye huku ni mchambuzi wa mpira Crown FM huku ni CEO wa JKT Tanzania ataweza kutofautisha vipi haya mawili? Asije kuongea kwa hisia akajikuta amefungiwa muda mrefu TFF
  5. M

    Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi

    Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
  6. P

    Nchimbi: Huwezi kuikosoa serikali kama mwenyewe una mapengo

    "Lengo la ziara yetu ni kutazama tena, kuhuisha mwamko ndani ya chama chetu na ndio maana kazi ya kwanza tumefanya katika eneo hili (Mpanda/Katavi) ni kwenda kwenye shina namba tano (5) ili tukajiridhishe ni kweli wanafanya vikao? Ni kweli wanaandika mihtasari ya vikao vyao? "Nataka niseme kwa...
  7. R

    Kwanini Mawakili wengi binafsi wanashangilia na kukimbilia kusimamia kesi za wanaodaiwa kutukana au kuikosoa Serikali?

    Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa. Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
  8. R

    Serikali: Hakuna mtu yeyote Tanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa sababu ya kuikosoa serikali

    Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude. Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
  9. Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  10. Tusidanganye umma kuwa na bunge la kuikosoa serikali mpaka wapinzani wawe bungeni. Huko nyuma bunge la chama kimoja liliisimamia serikali vyema

    Yaani hawa wanaChadema waliogwuza bunge ndio iwe msaada kwa Watanzania? Acheni kudanganya umma bana. Mbona akina Njelu kasaka na wenzao waliweza kuikosao na kuisimamia serikali wakati wa chama kimoja. Ishu ya msingi ni kuwa na wazalendo na wenye uchungu na taifa letu. Mnadai kuna demokrasia...
  11. Wabunge jipangeni kuikosoa Serikali

    BUNGE linatarajiwa kuanza mikutano yake Mwishoni mwa wezi huu, ikiwa ni siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza hadharani yuko tayari kukosolewa yeye na Serikali yake ili kumuonyesha maeneo yenye matatizo aweze kuchukua hatua kubadilisha dosari zilizopo. Wabunge tunawataka...
  12. D

    Kuikosoa Serikali ukiwa madarakani ni kazi ngumu mno

    Kufupisha Uzi nitatoa mfano! Chukulia ukiwa na njaa Kali, umepigika, jua kali halafu ukapewa lifti ya gari na dreva ambaye katika safari yenu kuna sehemu akakosea! Kama huwezi kumsema vibaya dereva wako au kumkosoa kwa uderevawake mbovu! Ndivyo ilivyo vigumu kuikosoa serikali inayokulipa...
  13. Tutumie muda wetu mwingi kuikosoa Bajeti, kushauri ili kuiboresha na siyo kuisifia kinafiki na kwa kujipendekeza

    Tayari naanza kusikia Waandishi wa Habari (hasa Watangazaji wa Redio na Runinga) wanaanza Kuipongeza huku Wakimsifia Mtu (Mteuaji) wakati Wanachokipongeza ni Direct Responsibility ya Government kwa Wananchi wake ila Kuikosoa na Kushauri ndiyo Jukumu letu Kubwa ili basi kabla ya Kupitoshwa Kwake...
  14. CHADEMA hoi bin taaban, wamekosa hoja ya kuikosoa CCM hawajulikani wapo upande gani kama ni wapinzani au sio wapinzani

    Tunajua ni kawaida chama cha upinzani kukosoa serikali iliyopo madarakani inapokosea kutumikia wananchi. Chadema sasa kama wapinzani wanaona CCM ya sasa haina makosa maana hatusikii wakikosoa na hii ni jibu kuwa wanaridhika namna CCM inavyotekeleza ilani yake. Wamebaki kukomalia habari na...
  15. VIDEO: Hii ni namna njema sana kuikosoa Serikali na viongozi. Cha ajabu eti wanachukia kana kwamba yanayokosolewa hayakusemwa wao hadharani...!!

    Hii video inatrend sana kwenye magrupu ya FB, telegram, TikTok, WhatsApp nk Cha ajabu, the so called "CHAWA" wameshatinga huko kutishia ma - admin kuzuia kusambaa kwa video hii eti "inaidhalilisha serikali na Rais Samia Suluhu kama kwamba haya hayakusemwa na wao wenyewe viongozi..!!! Tazama na...
  16. Moja ya Kazi za Bunge ni kuikosoa Serikali,Je wananchi kulikosoa Bunge ni haramu?

    Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes hiyo ndio Kazi ya wabunge na Bunge dhidi ya serikali. Je, ni makosa kwa wananchi kulikosoa Bunge...
  17. Ben Saanane: Ninatishwa kuuawa kwa kuikosoa Serikali

    Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali hii utakipata. Kwa elimu na uwezo wako hatukutarajia ungefikia hatua ya ajabu kwa namna uliyofikia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…