Ndio Rwanda ni majirani zetu kama wanavyosema wao wanaongozwa na rais mwenye inteligensia kali Afrika nzima siwezi kulijibia hili kama ni kweli au la hasha.
Utafiti wangu mdogo nahisi kati ya nchi zinazomnyima usingizi Rwanda ni Tanzania bila shaka nahisi rais wao anatumia nguvu kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.