Kuna baadhi ya watu wameamua kutokuwa na watoto na wana sababu zao za msingi,
Sababu zao,
Hawataki kujipa kazi ya kulea kwasababu kulea ni kazi kama kazi nyengine uzijuazo.
Hawataki matatizo endapo mtoto akiwa pasua kichwa mbeleni
Hawaamini kuwa wanaweza kuwa wazazi bora kwa mtoto n.k
EWE...