Moja ya vitu sitasahau katika maisha yangu ni pamoja na kipindi nilichoishi kwa mtu ambaye ni almost ndugu yangu.
Ilikuwa miezi mitatu tu lakini nilihisi ni milenia tatu!
Na mwisho wa siku sikulipwa mishahara yote!
Nakumbuka nilivyokuwa nikilazimika kumwibia ili nisife njaa. Hiyo inaniuma...