kuishi sana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna ile dhana watu wa vijijini wanaishi miaka mingi kuliko wa mijini, kuna uhalisia kwenye ili?

    Kumejengeka dhania ya kwamba watu wa vijijini wanaishi kwa muda mrefu kuliko watu wa mijini kutokana na aina ya mifumo ya maisha wanayoishi. Unakubaliana na hili na unafikiri ni kwa nin watu wanaweka fikra hzi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…