Unamuamkia mtu kwa nia nzuri lakini anakutazama kama hajasikia, unapotezea, kesho tena unamsalimia lakini bado haitikii salamu, hujawahi kosana nae wala kupishana kauli, hawa watu wapo ila wanakera sana, hasa hasa wadada.
sijui ni stress za maisha au wanaona huna hadhi ya kusalimiana nae...
Afrika ni bara tajiri sana. Hilo halina ubishi, wasomi wetu wengi wanakuja na ushahidi wa kila namna unaoshihirisha namna bara hili lilivyobarikiwa. Kuanzia juu kabisa kule Morocco mpaka Afrika ya Kusini pote huko kumejaa mali nyingi zilizo chini ya ardhi.
Uranium inayopatikana nchini Niger...
Hello!!
Anaandika Wadiz a.k.a Baharia
Moja ya sifa na upekee wa binadamu ni utashi wa kusalimiana na kuitikia salamu.
Kumekuwapo ongezeko kubwa la ujeuri, dharau, kibri, vijana wa kiume, wa kike, baadhi yao wakubwa tu hawatoi salamu au kuitikia salamu iwe mnapishana njiani, akukute sehemu...
Kweli Rais Samia ni Profesa wa siasa. CHADEMA inakufa hivi hivi. Ikumbukwe siasa ni Imani na ni Itikadi. Salamu katika siasa inabeba falsafa ya chama kama ilivyo salamu za dini. Huwezi kuingia msikitini ukasalimia "Bwana Asifiwe". Hiki kitatokea Moshi.
Ni utaratibu wa kawaida Rais wa nchi...
Yaani "NATO Response Force", uwezo wa kuhusisha wanajeshi 300,000 kwenye mapambano ndani ya muda mfupi.
Hii ni baada ya kugundua kuwa Urusi ana uwezo mdogo sana kivita, mpaka sasa kainchi kadogo kamemsumbua.
===
NATO Secretary-General Jens Stoltenberg on Monday said the military alliance is...
Kama kusema kuwa wabunge hawalipi kodi ndio sababu ya wewe kuitwa kwenye Kamati ya Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, nakushauri uweke hadharani salary slip yako kabla ya kufika mbele ya kamati ili umma ujue ukweli halisi ni upi.
Unaweza kuficha taarifa ambazo sio sahihi kwenda kwenye public...
Pamoja ya yote yaliyomo kwenye bajeti ya mwaka 2021/2022.
Nashukuru kwa serikali kwa kusikia kilio changu na mapendekezo yangu ya muda kitambo kwa baadhi ya watendaji wetu wa ngazi za chini huku.
NINA MAMBO MAWILI MKUU
1. Swala la madiwani, wenyeviti wa vijiji, vitongoji pamoja na mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.