Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta linakukaushia tu. Limemkosa mhusika halafu linakuja kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia halafu linakuja kukuuliza sehemu...
Naomba niulize swali kwa watu wazima hasa wanawake. Hivi huwa mnafikilia nini unaposalimiwa na mtu unayemzidi umri mpaka mnashindwa kuitikia?
Unakuta mama mzima analingana na mama yako au zaidi ukimwamkia shikamoo anakujibu Safi kama vile mnalingana. Ni nini hasa kinachopelekea msikubali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.