Wakuu salama?
Kuna watu ni wa ajabu sana. Sijui wanajikutaga akina nani vile. Unakuta jitu limekuja sehemu aidha dukani au popote pale, limekukuta linakukaushia tu. Limemkosa mhusika halafu linakuja kukuuliza fulani yuko wapi?
Au limekwama huko limepotea njia halafu linakuja kukuuliza sehemu...