REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda;
Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years.
Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama.
Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako.
Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi.
Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki.
Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi,
Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani.
Vyuma vikikaza sana
Mpasuko mkubwa ndani ya CCM utaotengeneza chama kipya
Muungano...
Kwanza hakuna mjadala kuwa CCM inatakiwa kutolewa madarakani kwa njia yoyote ile.
Pia hakuna mjadala kuwa mpaka sasa hakuna jinsi nyingine ya kuwa na chama kingine nje ya CHADEMA cha kupambana na CCM.
Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama bora cha siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini CCM...
Hili gari linatisha sana kuliangalia! Kinachonishangaza ni ujasiri wa Tundu Lissu kutaka kulitengeneza na kulitumia tena.
Gari hilo ni kielelezo cha jinsi ilivyo vigumu kuutoa madarakani mfumo CCM. Gari hilo lihifadhiwe makumbusho ya Taifa kwani ni alama ya ukombozi wa mtanzania.
Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.