Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI March, 2025) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2025.
Talent sourcing solutions
UTUMISHI is a government organization...
Habari wapambanaji wenzangu.
Ebana kwa wale tulioomba nafasi za kazi GBT,majina yametoka tayari.
Mwenye experience ya written za hawa jamaa hasa kwa upande wa Gaming inspector na license officer atupe dondoo ili tupate mwanga.
Nimeambatanisha pdf la majina hapo chini.
Kumetokea tukio mkesha wa mwaka mpya jamaa mmoja mkoa unahifadhiwa alikuwa akitoka kusheherekea mkesha wa mwaka mpya mida ya saa saba usiku akakuta jamaa wameweka magogo na kuchoma matairi alipotaka kupiga u-turn vibaka wakavamia na kuanza kuvunja vioo jamaa kuona hivyo akafungua mlango akatoka...
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.
Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano
Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali
Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa Serikali na dini duniani waliutumia kama chombo cha mawasiliano cha watu wenye hadhi kubwa duniani...
Duni hii siyo fair hata kidogo kwa wanawake. Tamaduni hazimpi mwanamke nguvu ya kuamua aolewe lini na aolewe na nani. Hivyo mwanamke hubakia njiapanda.
Mtanziko huu ndiyo umewaingiza wanawake wengi sana kwenye dimbwi la usingo maza.
Katika umri mdogo (early 20s) wanaume wanaowahadaa kuwa...
Inaonyesha kabisa hii marketing team ya mwekezaji mpya haipo serious.
Mixx by Yas ndo huduma gani? Haireflect chochote kinachohusiana na huduma za kifedha. Jina limekaa kama DJ wa vigodoro.
Hata Focus group walishindwa kufanya kabla ya kuweka hilo jina? Yani kutoka syllables nne — ti-go-pe-sa”...
Lissu amefunguka mbele ya wanahabari kuwa haogopi kuitwa msaliti kwa kuwa anatembea na risasi mgongoni hawezi kuogopa maneno ya mitandaoni.
Leo amesema hayo mbele ya Mbowe.
Kumbuka maneno ya kumuita Lissu msaliti yanadaiwa kutolewa na kiongozi mkubwa kwenye chama kwenye CHADEMA majibizano...
Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita.
Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani.
Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui
Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
Ni jambo la ajabu lakini la kweli.
Mojawapo ya tangazo lililowekwa katika tovuti ya ajira portal na mara zote kabla hujaweza ku apply system inakuambia ama kukukumbusha uhakikishe ume attach barua ya maombi ya kazi.
Binti huyu alikua na sifa zote kama kazi ilivotaka na pia system ilimuwezesha...
Rais Dkt. Samia akiagana na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) leo tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa nchi Wanachama wa kundi la G20.
Pia, Soma: Rais...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, Baltasar Ebang Engonga, amenaswa kwenye kashfa nzito na kubwa zaidi ya ngono nchini humo. Inayohusisha zaidi ya video 400 za ngono.
Wanawake waliomo kwenye video hizo ni pamoja na wake za viongozi wengi...
aachiwa
bado
baltasar ebang engonga
baltasar engonga
equatorial guinea
hizi
kuishi na mwanamke
kuitwa
kuthibitisha
mahakama
puff daddy
sababu
video za ngono
vigezo
wake za watu
wanawake wa kiafrika
Kwa walioishi wakati wa utawala wa baba yenu wa taifa ambaye ni kaka yangu, wanakumbuka alivyokuwa msomi, mbobezi na mwanafalsa wa aina yake.
Pamoja na hayo na kutuzwa shahada za uzamivu 23, hakuwahi kuitwa au kujiita daktari.
Je hakujua ujiko wake? Aliogopa nini na kwanini? Je hili...
Check Names Called for Placements at UTUMISHI (Kuitwa Kazini UTUMISHI November, 2024) – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS). Call For Work (Placements) UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) 2024.
UTUMISHI is a government organization responsible for recruiting and...
Eh,
Nyie watoto acheni kumsumbua Mungu jamaan
Leo nimekaa kwenye lounge ya ofisi moja mjini, naskia wadada wawili wanaongea kwa kutiana moyo
Maongezi ya mmoja yalikuwa hivi,
"Nimechoka kuitwa Mshangazi, Mungu nipe mume please 🙏 "
Nilitaka kumjibu lakini user yangu ikawa imefika
Wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.