kuitwa majina halisi na watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni kwanini watu wengi hawapendi kuitwa majina yao halisi na watoto wao?

    Kwa mfano baba anaitwa Juma hatotaka mwanae amuite wee Juma Ila atataka amuite baba au mama anaitwa Esta. Hatoruhusu mtoto wake amuite Esta Ila amuite mama.Je Kuna shida gani mwanao akikuita jina lako?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…