kujamba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Hivi ni kweli pilipili ni dawa ya kupunguza kujamba?

    Habari wana JF. Jana bana nilienda ugenini kusalimia, tukachoma na kula nyama pori sana sasa balaa lei nimeamka najamba sana halafu mashuzi yananuka, kuna mwamba hapa kanishauri eti nice pilipili ili kujamba kuishe. Je ni kweli pilipili inapunguza kujamba?
  2. Tuzungumzie faida za kujamba

    1. Kusaidia Kutoa Gesi na kinyesi: Kujamba husaidia kutoa gesi na kinyesi ambazo mwili umekusanya, na hivyo kusaidia kuzuia matatizo kama vile uchungu au kuhisi kukojoa mara kwa mara. 2. Kusaidia Kuzuia Vidonda na Matatizo ya Tumbo: Kujamba husaidia kusafisha na kuondoa viumbe hai wanaopungua...
  3. Kutoa ushuzi au kujamba katika Lugha ya Kingereza

    MSAMIATI UNAOTUMIKA KUMAANISHA ‘KUJAMBA’ AU ‘KUTOA USHUZI’ NI: 1. Fart: Hili ndio neno linalotumika sana. Huweza kutumika kwenye mazingira rasmi na yasiyo rasmi (Formal and Informal settings) Mfano: Jesca farts a lot. (Jesca hutoa ushuzi sana / Jesca hujamba sana) 2. Flatulate: Hili ni neno...
  4. Sababu na matibabu ya tatizo la kujamba kwa Uke

    Hii ni hali ya utoaji wa hewa au gesi uliyojikusanya ndani ya Uke. Tofauti na kujamba kwa kawaida ambako hutokea kwenye tundu la haja kubwa, uke huwa hautoi gesi chafu ambazo hutoa harufu kali. Kitendo hiki kinaweza kutokea wakati wa tendo la ndoa, mazoezi au pale ambapo mwanamke anakuwa...
  5. Ukweli kuhusu kujamba

    1. Unazalisha takriban mililita 500 hadi 1,500 za gesi kwa siku, na kuitoa kwa mara 10 hadi 20. 2. Unaweza kuiwasha gesi ya kijambo kwa moto. Ina gesi aina ya methane na hydrogen ambazo zinawaka kirahisi. 3. Kulingana na ripoti ya NBC News, kijambo kinaweza kusafiri kwa spidi ya takriban maili...
  6. USHAURI: Usithubutu kujamba kama unaumwa tumbo la kuendesha

    Yamenikuta tena ukweni kwa Wachaga ndio maana nawatahadharisha
  7. Mambo ya kushangaza kuhusu kujamba

    Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu,lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda. Kila mtu anajamba,hata Sky Eclat nae hujamba. 1. Kujamba ni nini hasa? Kujamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…