Karibia miaka 3 sasa lakini suala la kujaza watu kwa mama Samia bado linaonekana shida.
Ukiachana na watu wa hamasa wa UVCCM ambao huwa wanatangulia kituo kinachofuata kwa ajili ya kumpokea rais, viongozi wa CCM na serikali, pamoja na msafara inaonekana mama Samia anapitia wakati mgumu sana...