Wakuu,
Mambo yanazidi kupamba moto majimboni, sasa hivi kulalamika kunapungua, wanaanza kutumia mbinu zao.
=====
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa mchango wa mbao kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Mto Mnenje linalounganisha Kijiji cha Mnenje na Kitongoji cha Mtandika Wilayani Tunduru...