Wakuu habarini,
Hivi karbuni nimebahatika kufunga ndoa na mke wangu, wakati huo nishampatia mimba.
Hivi karibuni baba mkwe nilimwambia anitaftie kiwanja cha million 1.5 -2, cha kushangaza mzee wa watu akatupa kiwanja cha Bure tujenge mimi na mwanae wa kike, ili hiyo pesa niliyotaka kununulia...