Uzinduzi wa mbwembwe kujenga uwanja ambao upo chini ya viwango vya fifa ni kukosa maono na kufanya siasa chafu kwenye mambo ya maana.
Uwanja wa siti 32K ni uwanja wa levo ya halmashauri kama kinondoni walivyo jenga pale mwenge.
Ilikuwaje mkapa miaka 30 iliyopita aliamua kujenga uwanja wa siti...
Yanga na Simba waondoe tofauti zao kwa muda wajenge Uwanja mkubwa sana na wautumie pamoja .
Waige kwa Ac Milan na Inter Milan , Birmingham city na Coventry, Lazio na Roma na vilabu vingine ....ifike mahali waone aibu .
Soma Pia: Yanga kujenga Uwanja wa kisasa eneo la Mto Msimbazi!
Yanga wamekimbia Chamazi
Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Mkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa.
Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna uhaba wa ardhi nchini,
Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa.
Mimi binafsi...
Klabu ya manchester united nchini England imepitisha mpango wa kujenga uwanja mpya wa mpira utakaokua na manufaa zaidi kuliko kukarabati ule uliopo [old trafford], uwanja huo utakaobeba mashabiki 100,000 unakadiriwa kugharimu euro bilioni 2.4. Mpango huu umetokana na kuvuja kwa uwanja wa zamani...
Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea.
Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
Pongezi kwenu JWTZ kuwa na maeneo mengi makubwa hapa Tanzania.
Maeneo mengi yapo strategically kama mtayatumia kama fursa ya kukuza uchumi wa Jeshi letu la wananchi.
Pale Nyegezi kona katikati ya jiji la Mwanza mna kiwanja local ambacho huwa mashindano mbalimbali ya michezo huwa yanafanyika...
Jina la Saeed Abdullah Bakhresa litaibuka kila wakati Uwanja wa Lusail wenye uwezo wa kuchukua watu 80,000 huko Doha, ambao ni uwanja mkuu, ukitajwa.
Mhandisi Bakhresa, mmoja wa wafanyakazi wengi wasio wazawa wa Qatar walioajiriwa ili kutoa kile kilichoonekana kama kazi isiyowezekana kwa wakati...
Athari za maamuzi ya Hayati Magufuli zinazidi kuiathiri nchi. Laiti Uwanja wa Omkajunguti ungekuwa umejengwa Mkoani Kagera, pengine ajali hii ya Precision isingetokea.
ASALAAM, NIMEMSIKILIZA ADEN RAGE leo asubuhi kwenye kipindi cha Sport cha Wasafi Media. Anasema kama Simba wana 20B kwenye account watumie hizi pesa kuchukua mkopo ili kuanza ujenzi wa HOSTEL ZA KISASA, GYM YA KISASA KIWANJA CHA KISASA ili hizi hela zinazochangishwa zitumike kuandaa mfano...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha Mwada wilayani Babati. Picha Mussa Juma
Babati. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itajenga uwanja wa ndege wa Mkoa wa Manyara ambao utasaidia kukuza sekta ya utalii.
Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika...
Bila kuwa Na makubaliano kuhusu namna ya kugawana mapato yatakayotokana Na uwanja uliojengwa Na wanachama Na mashabiki kwa michango yao ya mifukoni itakuja kutokea vurugu kubwa sana huko mbele ya safari.
Lazima mgawanyo wa faida itakayotokana Na uwanja kwa wanahisa ifahamike kabla watu...
Tangu jana mwekezaji wa Simba alipopost kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii kuwa amesikia kilio cha mashabiki wa Simba cha kutaka klabu yao iwe na uwanja wake wa kuchezea mechi za nyumbani na kuahidi kuchangia bilioni 2 kumeibuka mijadala kwenye redio na mitandao ya kijamii,kama ilivyo...
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.