kujiajiri

  1. Mr Pixel3a

    Serikali iwape mikopo wahitimu wa vyuo vikuu wakaongeze ujuzi veta na mitaji ya kujiajiri

    Ikiwa serikali imefanya utafiti wa kina kuwa tatizo la ajira litaweza kuondolewa na ujuzi wa VETA basi Haina budi kuwawezesha vijana Hawa wanaohitimu elimu ya juu kwenye ada na mitaji ili wakimaliza kozi hizo za VETA wajiajiri.
  2. J

    Je? Kati ya umeme wa magari na umeme wa majumbani ni upi unalipa vizuri katika kujiajiri au kuajiriwa?

    Habarini wana jukwaa? poleni na majukumu. kama inavyosemeka kwa thread. Nataka kwenda veta kusomea kozi ndefu ya ufundi umeme kwahyo naombeni mnisaidie kimawazo ni umeme upi unalipa vzur sana sinto lala njaa kama nikibobea katika ufundi huo? Kuhusu kiwango cha elimu nina elimu ya form four...
  3. Career Mastery Hub

    Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  4. 3

    Ipi ni bora katika kujiajiri na kutengeneza pesa nyingi kati ya software developer na Cyber security

    Habari zenu ndugu polen na majukumu mimi niliuw na penda kujua kati ya software developer na Cyber security ipi inaweza kukutengenezea utajiri mkubwa kwa Tanzania hapa
  5. G

    Mali zinazopatikana kwa elimu zisigawanywe kwenye talaka, Juhudi za chekechea mpaka chuo haziwezi kupigwa pasu kwa pasu , Tuwaige wenzetu wakenya

    Chekechea - miaka 2 Msingi - miaka 7 Olevel - miaka 4 Form 5 / Dip - miaka 2 Degree - Miaka 4 kujitolea kupata ujuzi - miaka 3 Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
  6. Geok

    Short course gani ya ICT, yenye uwanja mpana kwenye kujiajiri?

    Wadau habarini!!! Niende moja kwa moja kwenye title. Nina mpango wa kusoma short course inayohusiana na mambo ya ICT, ili nije nijiajiri kutokana na huo ujuzi nitakaoupata. Nimeshafanya tafiti zangu binafsi kwa vyuo wanavyotoa hizi short course, na nime-decide nipige ATC coz nipo chuga kwa...
  7. Gulio Tanzania

    Elimu ya shule ya msingi ndio imeleta matokeo makubwa kwa watanzania wengi kujiajiri

    Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary ingeleta tija sana
  8. HONEST HATIBU

    Kujiajiri kupitia jukwaa la JamiiForums

    Kujiajiri kupitia jukwaa la JamiiForums ni njia nzuri ya kutumia mtandao wa jamii kujipatia kipato au kukuza biashara yako. Hapa kuna hatua muhimu za kuanza: ### 1. Kujenga Sifa na Maudhui Bora - Shiriki Maudhui ya Ubora: Anza kwa kushiriki maudhui ya ubora na yenye thamani kwenye JamiiForums...
  9. SSMashinji

    Wanaotaka kujiajiri tukutane hapa

    BUSINESS PLAN 01: FISH FARMING note source ni nyingi 👨‍⚕️. Kuanzisha biashara ya ufugaji samaki nchini Tanzania inaweza kuwa mradi wenye faida kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya samaki kama chanzo cha protini. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanzisha na kuendesha...
  10. Tranquilizer

    Baadhi ya Miongozo ukiwa unaanza kujiajiri

    Kujiajiri ni hatua nzuri sana kwa watu wanaotaka kuanzisha biashara zao na kuwa wajasiriamali huru. Hapa kuna miongozo michache kuhusu namna ya kujiajiri: 1. Chagua wazo la biashara: Anza kwa kuchagua wazo la biashara ambalo linakuvutia na linaloendana na ujuzi wako, shauku yako, na mahitaji ya...
  11. S

    SoC04 Miaka 5 /10 ijayo tunataka kuona mitaala ya elimu ya juu kusukwe upya ili imwezeshe mhitimu kuwa na ujuzi unaomwezesha kujiajiri/kujiajiri

    Elimu ni nyenzo muhimu saana kwa mwanadam kupambana na mazingara yanamzunguka. Ikiwa elimu hiyo haimwezeshi kupambana na mazingira hiyo elimu inakuwa kiwazo kwake hivyo humpatia mazingira magumu saana. Zamani mababu na mabibi zetu waliweza kufundisha vijana kwa kuwapatie elimu kwa vitenda ili...
  12. G

    SoC04 Mfumo na muundo wa elimu ya kitanzania uboroshwe kuendana na fura za kujiajiri na ajira duniani

    Utangulizi Tanzania imekua miongoni mwa nchi ambazo imekua ikukumbwa na janga la ukosefu wa ajira kwa wahitimu wa vyuo, vijana na wananchi wengi kiujumla, na tatizo ni kwamba wasomi wamekua ni wengi lakini mahala pakufanyia kazi pamekua ni pa achache au kwa ufupi ajira zimekua finyu lakini...
  13. S

    SoC04 Elimu ya kujiamini na kujiajiri

    TANZANIA TUITAKAYO. SEKTA YA ELIMU. Katika sekta ya elimu serikali ya Tanzania ina fanya jitihada katika kuiboresha sekta hii muhimu ya kadri siku zinavyo zidi kwenda mfano; kwa kutoa elimu bure ngazi ya msingi hadi sekondari kuongeza madarasa kwa sehemu zenye uhitaji mjini kwa vijijini,vifaa...
  14. J

    SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  15. A

    SoC04 Mfumo wa elimu bora wa kujitegemea na kujiajiri

    Tanzania tuitakayo: Kumekuwa na changamoto kubwa ya vijana walio maliza chuo kukosa ajira , hii inapelekea vijana kuwa tegemezi katika familia zao. Chanzo ya vijana kukosa ajira ni mfumo mbovu wa elimu ambaye inamwandaa mwanafunzi kuja kuajiriwa na sio kujiajiri! Tunahitaji Tanzania ya vijana...
  16. sangaone98

    Wakati vijana wanapambana na swala la kutafuta ajira au kujiajiri

    Hiki ni kipindi kigumu sana kwa upande wa vijana hasa kwa watoto wa kiume. Mambo yamegeuka kabisa. Zamani jamii ilikuwa inaamini mtu alie soma ndie mkombozi wa jamii hasa kwenye swala la uchumi lakini mambo yamekuwa sio kwa miaka ya 2000 to date. Kila mmoja anashuudia maajabu yanayo fanywa na...
  17. La3

    SoC04 Kujiajiri kwa mafanikio makubwa kunategemea shauku ya mtu mwenyewe kupenda kujiajiri kutoka ndani ya moyo wake

    Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza. Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa. Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi) Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri. Sasa...
  18. S

    Kuna familia ambazo zinaamini ili utoboe katika maisha basi uajiriwe na nyingine katika kupambana (kujiajiri)

    Kama kichwa cha mada hapo juu kinavyojieleza, kuna familia ambazo zimeaminishwa ili waweze kuendesha maisha nipale wanapokuwa katika ajira ,ama shirika au serikalini. Na familia hizi nyingi zitafanya juu chini kuhakikisha mwanafamila wao unaingia katika ajira ama serikalini au katika taasisi...
  19. G

    Wazazi tusomeshe watoto waje kujiajiri kwa taaluma walizosomea au kuajiriwa, biashara kwa hapa Tanzania zataka moyo

    Tangu nimezaliwa 1980s mwishoni nimeshaona wafanya biashara wengi sana wakifirisika, kufunga biashara, mtu anaenda dukani kila siku asubuhi hadi jioni hana muda wa familia, kurudishwa nyuma kwa maduka kuungua au kuibiwa, umafia katika biashara, n.k. Lakini kwa wakati huo huo niliona waajiriwa...
  20. D

    Ushauri wa namna ya kujiajiri Kwa vijana waliohitimu vyuo vikuu

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
Back
Top Bottom