kujiandaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi

    Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura. Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
  2. Walimu wote pitia makala hizi kujiandaa na usaili

    Kwa wale ambao wamekosa mambo ya msingi na taarifa muhimu kuhusu usaili hasa kada ya elimu, usijali! Zipo njia mbili za kuhakikisha hupitwi tena: 1. Tembelea Jamii Forums Hapa utapata makala zenye mwongozo wa kina na taarifa za msingi kuhusu usaili. Fuata link hii...
  3. Ni mambo gani ya kujiandaa pindi mwanamke anapotaka kujifungua?

    Habari za Muda huu wadau, Ukiachana na Mambo ama elimu tunayofundishwa Kliniki pindi umempeleka mwenzi wako Siku ya kwanza kliniki. Kama Kuandaa vitu vya kujifungulia, kanga, Mpira, Nguo za mtoto, Pesa za kujifungulia na usafiri. N.k. Ni mambo gani mengine ya muhimu ambayo unatakiwa kujiandaa...
  4. NAMNA YA KUJIANDAA KIUCHUMI KABLA YA KUANZA UJENZI🦺

    Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
  5. B

    Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  6. Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  7. M

    Wakati semenary tunafundishwa ukakamavu na mafunzo ya karate sikuelewa, kumbe ilikua kujiandaa kujihami hata na watekaji!

    Pumzika Kwa amani father A. Sikuelewa maana ya usumbufu wa ijumaa jioni na jumamosi karibu masaa sita. Ulikua unasema unatupatia basics za maisha kiukweli tulikua na miili iliyojengeka hadi leo hii kwenye uzee. Ulipokua unasisitiza mwanaume lazima uwe na mapafu ya mbwa sikuelewa, ulipotoa...
  8. Tunataka kushiriki CECAFA CUP ili kujiandaa na msimu wa 2024/25

    Singida Black Stars SC dhamira yetu ni kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup 2024 endapo kila kitu kitaenda kama tulivyopanga. Tumeshawasiliana na waandaaji tunasubiri watupe uthibitisho rasmi na mpaka sasa hatuoni kikwazo chochote kutoka kwao. Tayari tumeshatoa taarifa kwa wachezaji wote...
  9. Tusipokuwa makini na kujiandaa vizuri huenda Machi 2, 2024 wana Simba SC tukachekwa sana

    Siku tuliyoichagua ya Jumamosi ni mbaya kwetu Kinujumu (Kiushirikina) na hata tarehe yenyewe ya Pili/Mbili nayo mbaya sana kwetu. Kafara kubwa na la hatari linatakiwa kufanyika vinginevyo tujiandae kulia, kuumia na kuchekwa. Nimemaliza.
  10. Pre GE2025 Serikali yaanza kuwapiga Msasa Mawakili kujiandaa na Uchaguzi Mkuu

    Serikali ya Tanzania imeanza kuwajengea uwezo mawakili wake ili kuzikabili kesi zitakazojitokeza baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 na Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Mafunzo kwa mawakili hao yanatokana na kile kilichoelezwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk Eliezer Feleshi...
  11. Namna bora ya kujiandaa kuanza ujenzi

    Habari wakuu. Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha kutoka kwenye idadi ya material utapata gharama/bei zake halisi kwa sehemu unayotaka kujenga. Nitakuja...
  12. Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  13. Watanzania Watakiwa Kuanza Kujiandaa Fursa SGR

    MOROGORO; Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC), Augustine Vuma ametoa rai kwa watanzania kuwa wajiandae kuanza kutumia fursa mbalimbali za kiuchumi mara baada ya Treni ya Kisasa kuanzaia mapema 2024. Vuma ametoa rai hiyo wakati wa ziara ya wajumbe...
  14. N

    Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  15. Anaewaza kufikishwa kwenye mapenzi ni mgonjwa. Kwenye tendo wajibu ni kujiandaa kufika kileleni na sio kufikishwa.

    Wasalaam nyote, Karne hii binadamu wehu wanetamalaki, hawajui kusudi lao la kuishi, hawajui wajibu wao wa msingi katika kuishi furaha na amani. Wanawake wanaimba kufikishwa what a shame, wanawake wamejaa ubinafsi uliokithiri. Mapenzi yapo kwenye akili na nafsi ya Kila mpokeaji na mtoaji...
  16. P

    Tunahitaji kuzisoma alama za nyakati na kujiandaa

    kinachoendelea duniani ni mafahari kutunishiana misuli na hivyo kusababisha vita maeneo tofauti tofauti. Utawala wa marekani na ulaya kama dola unapitia wakati mgumu kutokana na nchi kama Urusi, China na Korea ya bwana kipanki kutaka kuonesha uwezo wao na kutotaka kunyenyekea tena. Serikali ya...
  17. Ex-M16 Spy: Putin anaweza asiwepo madarakani baada ya mwaka, nchi za Magharibi zatakiwa kujiandaa kwa hilo!

    VLADIMIR Putin's 20-year iron fist reign will be over within a year, a former MI6 spy claimed. Christopher Steele, who ran MI6's Russia desk between 2006 and 2009, said the West needs to "prepare for the end of the Putin era". After two decades in power, Putin's once unquestionable control of...
  18. Kwanini Yanga SC imetumia Nguvu Kubwa na Kujiandaa Kupitiliza kwa Mechi ya Rivers United FC wakati kwa 99% Wameshafuzu?

    Nimeshuhudia Maandalizi mengi ya Klabu ya Yanga hasa ikicheza Michuano ya Kimataifa ila sijawahi kuyaona Maandalizi haya Kabambe na Kufuru yaliyofanywa kuelekea Mechi yao ya Marudiano na Rivers United FC Kesho Mkapa Stadium. Hata hivyo Wenye Akili tunajua baada ya Yanga SC Kushinda Ugenini (...
  19. Msaada: Naomba mbinu za kujiandaa na written interview utumishi

    Habarii wakuu; Naombenii msaada Mbinu za kujiandaa na written interview utumishi vitu gani unatakiwa kuvizingatiaa zaidii?
  20. Marekani: Polisi watakiwa kujiandaa kwa mikusanyiko ya wafuasi wa Trump

    Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa. Trump amefunguliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…