kujiandikisha kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Pre GE2025 Zanzibar: Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja awaomba wananchi wakajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja amewaomba wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi katika zoezi la uandikishwaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura lengo likiwa ni kuhakikisha wanakwenda kuwapigia kura viongozi wanaowahitaji katika jamii na nchi kwa ujumla Mhe. Ayoub ameyasema hayo leo...
  2. Mindyou

    Pre GE2025 Picha: Tume Huru ya Uchaguzi yatinga mtaa kwa mtaa mkoani Morogoro kuhamasisha wananchi kujiandikisha

    Wakuu, Huko mkoani Morogoro, wafanyakazi wa Tume Huru ya Uchaguzi wameanza kuingia mtaani na kuandaa events ndogo ndogo kwa ajili ya kutoa elimu ya mpiga kura na kuhamasisha wananchi wajiandikishe kwenye daftari la kudumu la mpiga kura. Haya ndio mambo tunayotaka kuona. Sasa hapa tume...
  3. Mindyou

    Pre GE2025 Hivi Gen Z wa Tanzania wanajua hata kama kuna zoezi la kujiandikisha kupiga kura linaendelea nchi nzima? Tume ina mpango gani?

    Wakuu, Jana nilikuwa kwenye ile page ya Tume Huru ya Uchaguzi. Mpaka sasa hii tume imeshapita Zanzibar, Arusha, Pwani, Songwe, Ruvuma na Rukwa na kuanzia Machi 1 wataanza kuandikisha wapiga kura huko Mkoani Morogoro. Kwa namna ambavyo nawaona Gen Z (watu waliozaliwa 1997 - 2012) yaani ni...
  4. Mindyou

    Pre GE2025 Mhamasishaji Michael Msechu na DC Petro Magoti wakutana kufanya ziara ili kuhamasisha vijana kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

    Balozi wa mazingira na muhamasishaji, Ndugu Michael Msechu, amekutana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti, ambapo wamejadili mpango wa kufanya ziara ya kuhamasisha vijana na wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  5. T

    Pre GE2025 Pwani: Maafisa waandikishaji wasaidizi wa daftari la kudumu la wapiga kura ngazi ya kata waapishwa kiapo cha kutunza siri

    Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo ya Mafia Ndg.Vulfrida John Msele akiwaapisha maafisa waandikishaji wasaidizi ngazi ya Kata, Kiapo cha Kutunza Siri na Kujitoa Uanachama wa chama cha siasa katika mafunzo kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura yaliyofanyika katika Halmashauri...
  6. Mindyou

    Pre GE2025 Wananchi takriban 78,000 watarajiwa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura Zanzibar, wanawake wahaswa kujiandikisha kwa wingi

    Wanabodi, Wanawake visiwani Zanzibar wenye sifa wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura katika zoezi ambalo linatarajiwa kufanyika Febuari Mosi hadi Machi 17, Mwaka huu Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Idara ya Wanawake na Watoto Sitti Abbas...
  7. Waufukweni

    Pre GE2025 RC Iringa ahimiza wananchi kushiriki kwenye uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James amewataka wananchi wilayani humo kujitokeza kwa wingi kushiriki katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura huku akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni kutekeleza haki yao ya Kikatiba kuchagua viongozi wanaotaka kuwaongoza katika jamii. Pia...
  8. Inside10

    LGE2024 Askofu Bagonza: Nawaomba radhi niliowahamasisha ili waende wakajiandikishe kupiga kura

    Askofu Bagonza ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook; Mwaka 2019 tulitangaziwa kuna uchaguzi. Likawa shindano la kujaza fomu. CCM wakashinda. Wapinzani wakarudi darasani kujifunza kujaza fomu. Mwaka huu tukatangaziwa, safari hii ni UCHAGUZI KWELI. Tukainuka kuhamasisha watu...
  9. Waufukweni

    LGE2024 Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Amos Makalla, ameeleza kupata ukakasi mkubwa kuhusu hatua ya kiongozi ambaye ni mwanasheria na anayejua haki na demokrasia, lakini anakataa kutumia haki yake ya kupiga kura. Hili limejitokeza baada ya Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, kutotimiza...
  10. L

    LGE2024 Kwanini Mkoa wa Rukwa wameshika Mkia na Kujitokeza kwa uchache kujiandikisha kupiga kura?

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeshangaa sana kuona Mkoa wa Rukwa zaidi ya 30% ya wananchi hawajajitokeza katika kujiandikisha katika daftari la mkazi kwa ajili ya kupiga kura ya kuchagua viongozi wao mwezi ujao. Hii ni kwa kuwa ni 64.58% pekee ndio waliojitokeza kujiandikisha. Hivyo kuufanya mkoa...
  11. JanguKamaJangu

    LGE2024 Kilimanjaro: Wasiojulikana waiba madaftari ya kujiandikishia, wengine wachoma moto Ofisi ya Mtendaji

    Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wakazi wa Kijiji cha Kikelelwa Kata ya Tarakea Motamburu wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro hadi Oktoba 28,2024. Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...
  12. Wizara ya Ardhi

    LGE2024 Naibu Waziri Pinda ajiandikisha kijijini kwake kibaoni

    MLELE Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu. Mhe. Pinda amejiandikisha Jumamosi katika mtaa wa...
  13. J

    LGE2024 Hamasa kubwa ya wananchi kujiandikisha, pongezi ziende kwa Rais Samia

    HAMASA KUBWA YA WANANCHI KUJIANDIKISHA, PONGEZI ZIENDE KWA RAIS SAMIA Nchi inayoongozwa katika misingi ya kidemokrasia inaamini kuwa kielelezo cha kwanza cha Demokrasia ni haki ya kuamua, yaani kuchagua au kuchaguliwa. Katika kuiishi imani hiyo, serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe...
  14. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 Manyara: RC Sendiga apeleka nyama ya nyumbu kwa jamii ya Wahadzabe ili kushawishi kujiandikisha katika daftari la makazi

    Wakati yamebaki masaa kabla ya kukoma kwa zoezi la uandikishaji wapiga kura katika daftari la makazi kufikia ukomo leo Oktoba 20, Mkuu wa mkoa wa Manyara Queen Sendiga tarehe 19.10.2024 alitembelea jamii ya Wahadzabe katika kijiji cha MONGO-WA-MONO wilayani Mbulu ambao maisha yao bado...
  15. Tlaatlaah

    LGE2024 Shauku na hamasa ya wanafunzi ngazi mbalimbali kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa kero na maumivu kwa upinzani kulikoni hasa?

    Hamasa na shauku ya wasomi hawa vijana wa shule za msingi, sekondari na vyuo vikuu wenye sifa na vigezo vya kujiandikisha na hatimae kushiriki zoezi la maamuzi kupitia sanduku la kura, unadhni kwanini linawaudhi sana watu wa upinzani? Wengi wao watafikisha umri wa miaka 18 kesho jumamosi tar...
  16. The Watchman

    LGE2024 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ajiandikisha Dodoma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa wake, eneo la Kilimani, jijini Dodoma leo tarehe 18, Oktoba 2024. Akizungumza baada ya kujiandikisha, Balozi Nchimbi aliwasisitiza wananchi umuhimu wa kujitokeza kwa wingi...
  17. Torra Siabba

    LGE2024 Kauli za kuupoteza Upinzani Nchini zinavyopoteza Wananchi kujiandikisha kupiga kura Tabora

    Wana JF hebu tujadili hili jambo la kujiandikisha maana naona kama limedoda kupita kiasi maana watu ni kama wamesusa hivi kujiandikisha Zimebaki siku mbili tuuu kabla ya kufungwa kwa zoezi la uandikishaji kwa wakazi kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa. Lakini juzi hapa Tabora nilienda...
  18. Mkalukungone mwamba

    LGE2024 RC Makonda apiga chai na maandazi wakati akitoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kujiandikisha kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji. Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024...
  19. M

    LGE2024 Umejiandikisha? Jambo gani kubwa umekumbana nalo likakushangaza?

    Mimi: Niliulizwa JINA, JINSIA na UMRI tu. Sikuombwa details nyingine zozote zaidi ya hizo. Hivi, tuko serious kweli?
  20. Mindyou

    TAMISEMI wajitafakari! Tazama wanafunzi wa under 18 wakiwa wanapangishwa mstari mchana kweupe ili wakajiandikishe kupiga kura!

    Wakuu, Nikiwa napiga round mbili tatu mtandaoni nimekutana na video hii ambapo wanafunzi waliotajwa kutokea shule ya sekondari wakiwa wanapangishwa mstari wakajiandikishe kupiga kura. Mbaya zaidi kwenye hii video, huyu mzungumzaji anasema kuwa wanafunzi hao sio wakazi wa eneo hilo! Mbona...
Back
Top Bottom