kujiandikisha kupiga kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Waziri Bashungwa aongoza uhamasishaji Wananchi wa Karagwe kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameongoza zoezi la uhamasishaji kwa Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuendelea kujitokeza katika vituo vya kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili waweze kutimiza haki yao kikatiba ya kushiriki katika uchaguzi...
  2. LGE2024 Serikali itoe elimu kuelimisha wananchi umuhimu wa kujiandikisha, huo utaratibu wa kuwafata majumbani kuwaandisha haulisaidii taifa

    Naishauri serikali ipambane kuelimisha jamii na kutenda yale yanayo ijengea imani jamii ili ijue umuhimu wa kujiandikisha , Na sio kulazimisha mawakala kufuata wananchi majumbani ambako wana ambulia matusi na kejeli na pia haiwajengei wananachi utaratibu wa kuona ni wajibu kujiandikisha na...
  3. LGE2024 Kuna la Kujifunza katika Daftari la wapiga kula Uchaguzi wa serikali za mitaa

    Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu. Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi wenyewe matokeo mshayapanga, siwezi kupoteza mda wangu, au kuchomwa na Jua" Mtu mwingine akajibu "...
  4. Pre GE2025 Viongozi wanasema ni haki yenu kikatiba kujiandikisha kupiga kura hao hao wanasema kuandama ni uchochezi na uvunjifu wa amani!

    Kuna wimbi kubwa sana la watanzania ambao wameupuuza huu uchaguzi wa serikali za mitaa na Mimi nikiwepo. Niwapongeze kwa kuchukua maamuzi yao kikatiba na kibinafsi kufanya maamuzi bila bugudha. Hii ndiyo sehemu pekee mtanzania anayo maamuzi binafsi bila mtutu wa polisi, vitisho vya viongozi wala...
  5. LGE2024 Jimbo la Rungwe, Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni

    Jimbo la Rungwe ,Mkoani Mbeya, Kata ya Iponjola kituo Cha Iponjola kipo katika Jengo la CCM kinyume na kanuni. Huu uhuni ni Kwa sababu CCM imechokwa na wananchi huko chini na haikubaliki! Wameamua kufanya Kila aina ya fujo ilimradi waweze kushinda Kwa njia za hujuma ! Tutaenda nao hivyo hivyo...
  6. Mbunge wa Viti Maalumu Subira Mgalu awafunda UWT Kata ya Kerege Bagamoyo

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Pwani Mhe. Subira Mgalu azungumza na Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Kerege iliyopo Bagamoyo Pwani tarehe 12 Oktoba, 2024. Mkutano huo wenye lengo la kuzindua "Kamati za Ushindi" ulilenga katika kuhamasisha na kutoa elimu ya uandikishaji wa...
  7. LGE2024 Vijana Jitokezeni kwa Wingi Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura wa Serikali za Mitaa - Mbunge Tauhida Gallos Nyimbo

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi, Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo amewaomba Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mwera kushirikiana na Viongozi wao ili waweze kuwaletea maendeleo. Akikabidhi vifaa vya ujenzi ikiwemo Mifuko ya Saruji na Mchanga katika Tawi la CCM...
  8. LGE2024 Kama umekuta kituo cha Kuandikisha Wapiga kura hakina Wakala wa Chadema Toa Taarifa kupitia uzi huu, nitafikisha kwa Wahusika

    Yeyote aliyeona Kwenye Kituo chochote Tanzania labda Hakuna Wakala wa Chadema, Basi atoe Taarifa kupitia Uzi huu (Siyo PM), Mimi nitawasiliana na Viongozi wa Chadema kwa njia mbalimbali na kuwapa Taarifa haraka iwezekanavyo. Au kama umemkuta Wakala wa Chadema ana shida yoyote kituoni hapa, iwe...
  9. K

    LGE2024 CCM wamejipanga kimkakati uchaguzi huu wa Serikali za mitaa Upinzani wanang'aa mimacho tuu

    Nipo katika halimashauri Moja huku bush nimeshuhudia harakati kubwa zinavyofanyika kwa mkakati maalumu Kwanza kabisa sikuona mawakala wa upinzani Ila nimehisi Kuna mauzauza yanayopangwa kwa mkakati mzur kabisa Makarani wametoka vituoni wapo wanatembea nyumba kwa nyumba wakiongozwa na mtendaji...
  10. LGE2024 Ado Shaibu: Wasimamizi wa vituo vya uandikishaji wapiga kura kuwanyima mawakala kujua idadi ya waliojiandikisha ni bomu

    Katibu Mkuu chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema kuwa utaratibu wa wasimamizi wa vituo vya kuandikisha wapiga kura kuwanyima mawakala haki ya kujua idadi (orodha) ya wapiga kura waliojiandikisha siku husika ni bomu katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27...
  11. LGE2024 Viongozi CCM wanataka kuchota fedha kwenye akaunti za vijiji kata ya Lulindi mkoni Mtwara kulipa mawakala wa CCM

    Fedha za vijiji au kata ni mali za wananchi au mali ya umma ila viongozi wa CCM wakishirikiana na watendaji wa kata na vijiji pamoja na wenyeweviti wao wamekubaliana kuchota fedha za umma kwajili ya kulipa mawakala. Jambo ili lipo kinyume na sheria na usimamizi wa fedha. Na ili limetokana na...
  12. T

    LGE2024 RC Malima: Mume haruhusiwi kumkataza mke kujiandikisha, akibainika atakamatwa

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Malima ametoa onyo kwa mtu yeyote atakayeleta vurugu ili kukwamisha zoezi la uandikishaji wa wapiga kura serikali za mitaa unaoendelea kufanyika Mkoani humo na nchi nzima kwa ujumla. Akizungumza na waandishi wa habari RC Malima amesema kuwa vyombo vya ulinzi...
  13. LGE2024 Tabora: Watu zaidi ya 150,000 watumia siku moja kujiandikisha daftari la kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa 2024

    Watu zaidi ya laki moja na elfu hamsini mkoani Tabora, wametumia siku moja pekee kujiandikisha katika Daftari la makazi la kupiga kura kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, utakaofanyika Novemba 27, mwaka huu ambapo zoezi hilo la uandikishaji limeanza jana Oktoba 11 na litamalizika Oktoba 20...
  14. LGE2024 Vijana wa CHADEMA Waingia mitaani Kuhamasisha Wananchi kujiandikisha

    Hili ni jambo ambalo baadhi ya Wale wengine wamenuna. Vijana hawa wanafanya kazi hii iliyopaswa kufanywa na TAMISEMI huku Waziri wa Wizara hiyo akizunguka na Diamond huko Ikwiriri wakitafuta Eneo la kujenga Ukumbi wa Burudani. Soma Pia: Wito kwa Vijana wote wa Tanganyika, kujiandikisha...
  15. LGE2024 Special Thread: Hali ya Vituo vya Kujiandikisha kupiga Kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 kwa Picha na Video

    Wakuu salama? Zoezi la kujiandikisha limezinduliwa jana Oktoba 11 na Rais Samia, meona nianzishe uzi huu ili tushee picha na video za maeneo ambayo tunaenda kujiandikisha kupiga kura. Kuona vituo vikoje, mazingira kwa ujumla yanaridhisha? Au mnaandikishwa chini ya mti🌚! Ukiweka picha na video...
  16. LGE2024 Prof. Muhongo Amejiandikisha Kupiga Kura Tarehe 27.11.2024

    Leo, Ijumaa, 11.10.2024, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, amejiandikisha kupiga kura tarehe 27.11.2024. Vilevile, ametembelea vitongoji kadhaa vya Kata nne, ikiwemo Kata ya kwao ya Kiriba, yenye vijiji 3 na vitongoji 24, na kupata yafuatayo: (i) Idadi ya wapiga kura...
  17. LGE2024 Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa: Aeleza kutoridhishwa na mwenendo wa zoezi la uandikishaji katika siku ya kwanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimewahimiza wananchi kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu. Kauli hiyo imetolewa na Katibu wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Bi...
  18. LGE2024 Rais Samia anapanga foleni ya kujiandikisha ila tunakaa masaa matatu barabarani kusubiri msafara wake upite!

    Wakuu, Kama bado hujaenda kujiandikisha kupiga kura tafadhali tazama picha hii ya Rais Samia na Nyerere kwa nyakati tofauti wakiwa kwenye foleni wanasubiri zamu zao zifike! Sina mengi ya kusema nadhani picha inajieleza. :D :D...
  19. LGE2024 Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea?

    Kama leo baadhi ya vituo vya kujiandikishia wameweka nje kila mtu anaona kwa uwazi kwanini kura zisipigwe kwa uwazi ili kila mtu aone kinachoendelea? Soma Pia: Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
  20. LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ajitokeza kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Geita

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko ameshajiandikisha kwenye Daftari la Wapigakura wa Serikali za Mitaa kwenye katika kitongoji cha Bulangwa wilayani Bukombe mkoani Geita leo tarehe 11.10.2024.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…