Wakuu,
Mwandikishaji kutoka mtaa wa jeshini, makambako Njombe kutoka aliyejitambulisha kwa jina la Pasdia Kayombo, asema mwitiko wa wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha uchaguzi wa serikali za mitaa ni wa wastani, na kwamba umeongezeka kidogo baada ya hamasa kuongezwa akiongeza kuwa ni...
Aliyekuwa Mbunge kwa tiketi ya CCM (2010 - 2015) Hasnain Murji awahimiza wananchi Mtwara kushiriki kwa kujiandikisha katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024.
Hasnain aliyasema hayo mara baada ya kujiandikisha Oktoba 18, 2024 katika mtaa wa Shangani West, ambapo aliwasihi wananchi na hasa...
Zoezi linasuasua Hadi aibu!
Licha ya viongozi wa kiserikali na wale wa kisiasa kuhamasisha watu wajitokeze lakini wamegonga mwamba.
Watu ni kama wamepigwa ganzi hawana shauku Wala hamu na zoezi Hilo. Nikama wamesusa au wamekata tamaa.
Uzuri ni kuwa wenye dhamana wamekiri zoezi kusuasua. Na...
Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi
..
Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu.
Dakika moja tu unakuwa umeondoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.