Imeelezwa kuwa kitendo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na viongozi wengine wa CCM wa ngazi mbalimbali kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la mkazi kimekuwa chachu ya wananchi kushiriki kwa wingi kwenye zoezi hilo...
Kwa utaratibu wa nchi yetu kila mwananchi mwenye umri wa miaka 18 na zaidi ana kadi ya kupigia kura isipokuwa vijana ambao wangotimiza miaka 18 mwaka huu.
Tayari zoezi la uboreshaji wa daftari la kupigia kura limefanyika nchi nzima. Sasa kwa nini uchaguzi huu wananchi wasingetumia kadi zao za...
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeongeza muda wa kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa wakazi wa Kijiji cha Kikelelwa Kata ya Tarakea Motamburu wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro hadi Oktoba 28,2024.
Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa...
MLELE
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye orodha ya mpiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 mwaka huu.
Mhe. Pinda amejiandikisha Jumamosi katika mtaa wa...
20 October 2024
Mikoa yavunja rekodi kujiandikisha uchaguzi wa TAMISEMI 2024
Mikoa mitano ya Tanganyika iliyoongoza nchini Tanzania ni kama ifuatavyo :
Tanga asilimia 101.13 ya lengo ,
Pwani 98.74% ya lengo ,
Mwanza 94.09%, ya lengo
Dar es Salaam 86.66% ya lengo
na Dodoma 80.63% ya lengo...
Mbilinge zinaendelea za kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa. Huku tukiendelea kusikia mambo yanayotokea kwenye vituo vya kujiandikisha.
Leo huko Katavi yalitokea ni haya
==================
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, pamoja na...
Vurugu kubwa zimetokea katika mtaa wa Engosengiu kata ya Sinoni kati ya msimamizi wa uandikishaji wa mtaa huo na wakala wa chadema na baadhi ya wananchi baada ya msimamizi huyo kutaka kumtorosha muandikishaji wa daftari bila ya kuonyesha idadi ya waliojiandikisha wakiwa na lengo la kwenda...
Ukiukwaji ni mkubwa tena unafanyika wazi wazi mbele ya jamii bila hofu yeyote kwa wahusika. Waziri wa TAMISEMI yupo, Tume ya Uchaguzi ipo, Vyombo vya sheria vipo. Lakini....
1. Watoto chini ya miaka 18 wanaandikishwa, ushahidi wa picha upo.
2. Makarani wanaenda nyumbani kulala na vitabu vya...
Mtindo unafanywa sasa wa kuwaandikisha watoto wa shule waliochini ya miaka 18 ni dhahiri ni njama za kuhujumu uchaguzi wa serikali za mitaa kwa manufaa ya chama tawala.
Hakuna chama cha upinzani kinachoweza kwenda kuchukua watoto wa shule waliochini ya miaka 18 kwenda kujiandikisha. Haya sasa...
CPA Amos Makalla ametoa angalizo kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA kuwa kimeanza kutafuta visingizio vya kishindwa uchaguzi wakati ambapo hakijajiandaa kabisa na uchaguzi.
“unachokipanda ndicho unachokivuna wenzetu wameanza kulalamika tulitegemea haya mana hawakujipanga Sisi Viongozi wote...
Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa...
Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa
Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga kura la uchaguzi wa serikali za mitaa.
Maandamano yataanzia Kata ya SEKEI eneo la Philips na kuishia...
Kumbe mtu unaweza toka bonyokwa ukaenda kujiandikishia boko au masaki na usiulizwe kitambulisho wala ulikotoka/unakaa wapi ,yaani shida yao ni majina yako matatu tuu hata ukidanganya naitwa sumbwili mwanarugati wao wanaandika tuu fresh imetoka hiyo.
Nimeshindwa elewa hivi kwa staili hii si...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka Mawakala 666 katika Vituo 666 vya kuandikisha Wapigakura huku Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ikiweka Mawakala 55.
Msimamizi wa Uchaguzi katika Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Dk. Frederick Sagamiko amesema hayo wakati mkoani humo wakati akikanusha...
CHADEMA kimesema kuwa hakiridhishwi na mchakato unaondelea wa uandikishaji wa wapiga kura kwani kuna kasoro ambazi zimejitokeza.
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema amebainisha changamoto hizo ambazo ni
1. Uandikishaji wa watoto ambao hawajafikisha miaka...
Kumekuwa na malalamiko ya hapa na pale kuwa CCM inaandikisha wanafunzi kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mtaa.
Wandugu, as long as hao wanafunzi watakuwa wamefikisha umri wa kupiga kura wakati wa uchaguzi hakuna sheria yoyote iliyovunjwa, ni haki yao kupiga kura.
Mbali na mashuleni, CCM...
Kabla ya mwaka 2015 kulikuwa na mwamko mkubwa sana kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kujiandikisha ili kutimiza adhima yao ya kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuanzia 2010 hadi 2015 ulizuka msemo unaitwa Kichinjio. Yaani kadi ya mpiga kura ambapo mwenye nayo anaamua kumkatilia mbali Diwani...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, John Kayombo, ameibuka na majibu makali kufuatia madai yaliyotolewa na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, kuhusu kasoro katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la mkazi linaloendelea nchini.
Akizungumza na...
Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Dodoma Mjini umelalamikia kuwepo kwa vitendo vya hujuma katika zoezi la uandikishaji wa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwenye Daftari la Mkaazi.
Akizungumza leo, Oktoba 14, 2024, katika ofisi za CHADEMA Kanda...
Leo nipo Dukani walikuja watu kuni hamasisha nikajiandikishe kupiga kula. Pale Dukani kulikua na watu wengi ila majibu ya baadhi ya watu.
Walisema " Nikajiandikishe Ili iweje wakati Uchaguzi wenyewe matokeo mshayapanga, siwezi kupoteza mda wangu, au kuchomwa na Jua"
Mtu mwingine akajibu "...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.