📖Mhadhara wa 24:
Kadiri unavyokuwa mkimya ndivyo unazidi kujiongezea thamani na sifa nzuri. Hupaswi kujibu kila kitu, unashauriwa kukaa kimya kwenye baadhi ya mambo.
Kukaa kimya pia ni jibu, lakini si jibu la kila kitu. Unafika wakati unapaswa kuvunja ukimya na kuzungumza, kwa maana pia ukiacha...