Habari za usiku wana JamiiForums,
Kwa muda sasa nimekuwa nikiyatafakari mapenzi.
Nilichokuja kugundua ni kwamba mapenzi ni kwa watu dhaifu. Ukitumia akili nyingi kwenye mapenzi nakuhakikishia hutadumu.
Angalia wote waliofanikiwa kudumu kwenye mapenzi, akili zao zilivyo... Sina lengo la...