Ukweli ndio huo. Kama bara Africa ilishajifia.
Viongozi wengi wa Africa wameishia kuwa madalali wa mali za Africa kuzipeleka kwa wazungu. Ni nadra kukuta kiongozi wa Africa mzalendo anayewazia nchi yake kufika mbali. Kwenye makaratasi wana hotuba tamu kuliko asali. Kwenye utekelezaji ni...
Sogea mbele hata kama unahisi kuchoka ila hakikisha hata unachechemea, unatambaa au unafanya kila liwezekalo katika kujikomboa tu
Kukosea, mapito au kupoteza ni kawaida katika maisha ila usivunjike moyo na ukaamua kuishilia hapa duniani fanya mabadiliko sasa
Usiache kuamini mazuri yajayo hata...
Kila mtu anawaza upigaji tu, yaani vichwa vimejaa ni namna gani fursa ije ili mtu apige.
Huko kwenye ofisi za umma pamejaa mi-ungu watu, kuanzia mfagizi hadi ma-boss!
Badala ya kufanya kazi, watu wamejaa majungu, kuoneana wivu na kuchongeana.
Watu wanafiki kupitiliza. Usoni wanakuchekea kumbe...
CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo.
Ni umeme, reli, SGR, ATCL, Demokrasia, utawala bora, ajira za kupeana, wizi, kukosekana haki au eneo...
Jamii iko katika mchakato usio na mwisho wa uboreshaji ambao unahitaji kizazi thabiti cha mawazo mapya. Changamoto mawazo ya kawaida ni matokeo ya kufikiri ubunifu na hoja tata ambayo ni kazi ya elimu ya juu. Kama msomi, nimekuwa nikitamani kila wakati kuleta mawazo mapya, imani, imani, na...
Maana ya Uraghbishi
Si rahisi kuwa na maana moja kamili ya Uraghbishi, hii ni kwa sababu Uraghbishi ni falsafa, mtazamo na namna ya kuwachochea Wananchi washiriki kwa pamoja katika kujiletea maendeleo yao. Uraghbishi ni mtindo wa maisha.
Lengo la Uraghbishi
Kuwahamasisha wanajamii katika ngazi...
a) UTANGULIZI.
Vijana wengi wa sasa nikiwemo mimi kwa muda mrefu tumekuwa tukilalama, na pengine kuilalamikia serikali kwa uhaba wa fursa zinazoweza kufikika ili KUJIKOMBOA ki uchumi, mawazo haya yameshika hatamu vichwani mwa vijana wengi wakihisi fursa ni lazima mtu akukamate mkono na...
Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni...
Hali ya vita vya Ukraine sasa iko wazi kwa kila mshirika.
NATO na Ukraine kwa upande mmoja na Russia kwa upande mwingine.
Uwanja wa vita rasmi unaeleweka kwa wote kuwa ni Ukraine.
Russia kama Nduli Amini, sasa anatakiwa kufurushwa kutoka katika ardhi zote za Ukraine zikiwamo Donbas, Lohansk...
TAFAKURI TUNDUIZI TIBA YA MAENDELEO
UTANGULIZI
Umewahi kujiuliza kwanini watu hugombana katika mijadala? Kwanini kuna migogoro kati ya nchi na chi, mtu na mtu ama jamii na jamii? Kwanini baadhi ya miradi ya kitaifa haikamiliki ama hukamilika kwa mashaka?
Masuala yote hapo juu ni matokeo ya...