VYANZO VYA TATIZO LA KUJIKOSOA SANA
Mtu ambaye anasumbuliwa na tatizo la kujikosoa sana huwa amepitia historia ifuatayo
Vyanzo vya tatizo la kujikosoa sana ni 3 kama ifuatavyo
1.KUJICHUKIA KWA MUONEKANO
Unaweza kujikuta upo na tatizo la kujikosoa sana, kujilaumu, kujichukia kwa sababu za...