Maisha ni story tamu na chungu, nakumbuka nyuma huko tunapiga story na washkaji kwamba miaka flani mbele tutakua na familia, furaha, kazi/biashara na vyote vizuri.
Salalee sasaivi tunaemea pakuche kesho itakua kheri, si kama hatukusoma wala si kwamba hatujaweka bidii kwenye kutafuta ila bwana...