Sawa mnitukane sina hela.
Vibinti tu ya 20+ yrs.
Mmoja akawa anampa mfano wa jinsi nyumba aliyekuwa amewekwa rafiki yake na bwana yake (mme wa mtu) alitoka kapa bila ya kupata kitu baada ya huyo mwamba kufariki.
So akawa anamwambia kila kitu anachokupa kiwe katika jina lako kisheria pia...
Kwa ufupi ni kwamba, babu yangu katika pilikapilika za kutafuta alifanikiwa kumiliki eneo ambalo lipo jirani kabisa na barabara ya lami, baada ya kustaafu katika shughuli za kiserikali basi akaamua kuhamia kijijini ambapo alifanikiwa kununua shamba na akajenga..
kule mjini akajenga pia nyumba...
Katika maadhimisho ya siku mia za vita kati ya Israel na Hamas waziri mkuu wa Israel ameiamrisha Misri ifunge mpaka wake na Gaza na kuiachia Israel kudhibiti eneo lote linalounganisha Gaza na nchi hiyo ya kiarabu.
Kipande hicho cha ardhi ambacho Israel kinakiita Philadelphi Corridor kina urefu...
Nani aliwaambua eti mtu anaweza kumbaliki mtu mwenzie. Hivi nyie mnacheza na Mungu eti!!
Nimeshangaa sana eti Kuna watu wanabariki watu wenzao. Sasa mungu ana kazi Gani! Mbona mnataka kumnyanganya ukuu wake.
Eti mashoga hamtawabariki!! Kwani uwezo wa kubarika mmetoa wapi
Natumai wadau nyote mu wazima, tafadhalini naombeni mrejee kichwa cha habari hapo juu.
Je ni halali na haki watumishi baadhi wa Mungu nyakati hizi kujimilikisha kazi ya Mungu ikiwa ni kweli wanaifanya hiyo kazi kwaajili ya Mungu na siyo kujinufaisha wao? Na kama ni halali je, huo uhalali...
Hata mtoto mdogo wa miaka miwili anaelewa fika kabisa CCM kwa sasa wanajimilikisha kiharamu. Hawana uhalali wowote kutoka kwa Mungu wala kwa wapiga kura ndio maana wamekatalia wamebakia kutumia nguvu kuwabambikia kesi wapinzani na kuwateka na kuwapoteza.Hata siku hakuna mabavu yaliyowahi...
Kanisa Katoliki kwa miaka nenda rudi wamekuwa na utamaduni wa kujilimbikizia maeneo makubwa ya ardhi nchi mbalimbali, na ardhi hiyo huwa inasauiliwa Vatican kama milki yao halali.
Kanisa limekuwa likifundisha kwamba tusijiwekee akiba duniani, lakini lenyewe ndio kinara wa kujilimbikizia ardhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.