kujindoa who

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    Kwanini Tanzania tusijitokeze na kutangaza kuchangia mchango wote ambao Trump ametishia kujiondoa WHO? Hii itatupa heshima Dunia nzima

    Nimewaza sana na ninafikiri ni muda Sasa wa Dunia kututambua USA amesema kwa mwaka Jana pekee alichangia kiasi Cha Dola za Marekani milioni 500 pesa ambazo ni kama tilioni moja nukta 2 za kitanzania (1.2tirioni za kitanzania). Pesa hizi tunao uwezo wa kuzipata na kuziwakilisha kama mchango wetu...
Back
Top Bottom