Mwanamitindi Suellen Carey amejiondoa baada ya ndoa ya peke yake iliyidumu mwaka mzima kutofanikiwa kama alivyopanga . Mwanamitindo huyu mwenye asili ya Brazil anaishi Uwingereeza alishangaza ulimwengu baada ya kufunga ndoa ya peke yake. Suellen amejioa na amekua akihudhuria vikao 10 vya...